Kwa ujinga huu, sitamuamini mtu hasa vijana

Kwa ujinga huu, sitamuamini mtu hasa vijana

Kuna huyu kijana alipost anatafuta kazi, nikamtafuta akadai ana nauli pungufu.

Tukakubaliana nimtumie nusu nauli. Nilimtumia lakini siku ya kuja akawa amezima simu na kufuta picha aizonitumia watsaup. Nilikomenti jinsi alvyofanya baadaye akanitafuta akidai alivamiwa na vibaka wakampora kila kitu.

Akaniahidi atakuja, kweli akaja Dar Es Salaam hadi nyumbani, nikamuonesha maeneo ya kazi zangu. Nikawa nafanya naye huduma ya wakala wa miamala ya pesa.

Ikabidi awe anawahi kufungua maana alikuwa anakaa karibu. Asubuhi ya Leo kachukua laki sita, simu mbili na line NNE na ametoa pesa zote kakimbia. Pale getto alipokuwa anakaa vijana wenzake kawaibia nao pesa zao.

Ripoti nimetoa kituo cha polisi Sealander bridge na RB ninayo.
Kumbe ww bado ulikuwa unawaamini jaman
 
Fools always thinks? How many are they?
A fool once danced in rain and sun,
Laughing loud, the only one.
He chased the wind, he hugged the sea,
Blind to all that couldn’t be.
They mocked his dreams, they called him mad,
Yet still, his heart was never sad.
For though the world saw but a clown,
He wore no chains to weigh him down.
 
Hili suala lililokutokea inabidi uwe na sample space nyingi mno like 2000-10000 ili judgement yako iweze kuwa validity otherwise, you aren't correct sir.
How can you do conclusion just by one sample space or event mmoja ya kuona msomi akaolewa hakudumu kwa ndoa ukasema kuwa Sioi msomi , kwani hakuna wasiosoma ambao wanashindwa ndoa.
So hata angekuwa ndugu yako pia angeweza kukuibia , Ila sio ndugu wote
 
Back
Top Bottom