mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Profesa Jay amekuja na video mbili kali alizofanya na directors wa kitanzania.
1. kipi sijasikia aliyomshirikisha Diamondplatnumz
Hii video ni kali japo sijaona Adam Juma akifanya jipya kwenye video zake kwa sasa, ila kibongobongo ni video poa.
2. Tatu chafu
Hii ndio video yangu bora katika video alizowai fanya Prof, amefanya na director mgeni kidogo anitwa Hefemi
Hii comment ya Bongofive kwenye Youtube imemaliza kila nilichotaka kusema

[h=3]bongofive[/h]1 day ago
Kudos kwa Hefemi. Ni faraja sana kuona kwamba video nzuri kama hii imefanywa na muongozaji mzawa. Kila kitu kimefanyika kwa umakini mkubwa kuanzia location, script, waigizaji, yeye mwenyewe Professor kabeba uhusika wake vizuri, rangi, lights na vingi vimekaa poa mno. Kwa video za aina hii sioni umuhimu wa wasanii wa Tanzania kwenda nje tena kushoot video. Creativity at its best.. Proudy Tanzanians.
Last edited by a moderator: