Kwa ujio huu, Prof JAY ndio baba wa Hiphop Tanzania

Kwa ujio huu, Prof JAY ndio baba wa Hiphop Tanzania

Funga Kazi ilikuwa balaa ilikuwa ina bang sana kuanzia kibo mpaka oldonyo majita walikuwa wanaazima sana ile Tape.

Sawa sawa mmenye , Kulikuwa na Radio Cassette kwenye Cubic ya pili kutoka mwisho mkono wa kushoto Kibo A-Hatari tupu . Enzi zile mbabe alikuwa Chief( R.I.P) na Mgaya ( R.I.P).
 
Kazi nzuri sana toka kwa Prof Jizze....Haters wabwabwaje wawezavyo but track ni nzuri kuanzia shooting hadi flowing
 
Back
Top Bottom