kbmk
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 776
- 158
Siku hizi chekechea hadi katika nyumba za watu uswahilini huku wazazi wakikomaa kupeleka watoto nursery waje wajitegemee na kujiajili. Hakuna kimbilio mkamate elimu, ukimuacha aende zake utaipata freshi. Tukija na matokeo yt marefu marefu tutafka tu Tanzania