Kwa ukwasi wa Mbowe, sioni kura kwa Lopo Lopo!

Ukwasi Gani? Ana kiasi Gani? Kwa nini miaka 20+ anang'ang'ania kuwa mwenyekiti? Kama kipimo Cha uongozi ni Hela tumuombe baharesa akagombee uwenyekiti
 
Rushwa haitamsaidia kupata kura.
Akahonge wajumbe wa ccm tu wanaoishi kwa rushwa
 
Ukwasi Gani? Ana kiasi Gani? Kwa nini miaka 20+ anang'ang'ania kuwa mwenyekiti? Kama kipimo Cha uongozi ni Hela tumuombe baharesa akagombee uwenyekiti

Labda kavuna vya kutosha toka Kwa Abduli:

IMG_20250102_135950.jpg
 
Kura 1199 kati ya 1200 kwa mbowe - moja itaharibika na mnajua ni ya nani.
 
Back
Top Bottom