Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
- Thread starter
-
- #41
Hiyo nyu muimwagie petrol muichome mnakaaje nyumba iliyopakwa mimavi
Kisa kinachekesha sana hiki, anyway, hapo huyo mwanamke kaamua kumkomoa tu huyo jamaa ila ole wake huyo mwanamke kama angefanya hivyo kwa msela mwingine katili angejichwa vibaya sana. Hawa ndio wale wanawake wanaouawa kinyama kwa majamaa zao. Duh! Huyo msela hata asihangaike kumtafuta mwanamke huyo mshenzi yasije yakamkuta mabaya zaidi akaishia jela na huyo mwanamke akaishia kaburini
Mlete huku shambani kwetu Njombe, hiyo samadi anayotoa itatufaa sana kwenye kilimo chetu cha parachichi
[emoji1787] [emoji1787]
Ni kiumbe wa kawaida kweli huyo mwanamke?
Atakuwa kachota kwenye chemba ya choo (septic tank), au alienda na ndoo akanunua na kujaziwa na vijana wa lori la maji taka (sewage)Tofauti na mleta mada, hamna binadamu mwingine anaeweza kunya mavi ya kupaka kitanda kizima, mlango,kuweka kwenye mabegi ya nguo na kwenye jaba la maji.
Atakuwa kachota kwenye choo, au alienda na ndoo akanunua na kujaziwa na vijana wa lori la maji taka (sewage)
Ujinga wako na familia yenu unataka ujadiliwe humu ndani? Hebu acha kuwa Kulwa Jingal@la
Huyo ni mchawi?
Unakijua kilichomuua Ng'wanamalundi?
Kama hujui ulizia. Ukipata jibu chukua hatua stahiki!
Ila mimi nisihusishwe kwa aina yo yote ile [emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli mkuu wana mitihani sanaOgopa sana kukutana na mwanamke mwenye changamoto ya afya ya akili
Hata huo ugali mliokula siku ya usuluhishi ulikua na mkojo