Kwa ulichomfanyia mdogo wangu, tutakutafuta tu ewe mwanamke

Kuna watu mnahisi JF ni ya kuchewa tu. We unakaa kufikiri kutunga kitu ukilete hapa ndio ujanja. Hakuna mtu anaweza kufanya uchafu huo,ila wewe mleta Uzi huu uongo unaweza kufanya kituko hiki,ksbb tayari umekiwaza
 
Dogo wako alikua anadate na tembo? maana hicho kinyesi cha kunya kwenye mabegi, kuapakaza kitanda kizima, kupakaza mlangoni na kunya kwenye jaba la maji si mchezo sheikh...
 
Majirani wanasema alivuta bangi
 
Kuna watu mnahisi JF ni ya kuchewa tu. We unakaa kufikiri kutunga kitu ukilete hapa ndio ujanja. Hakuna mtu anaweza kufanya uchafu huo,ila wewe mleta Uzi huu uongo unaweza kufanya kituko hiki,ksbb tayari umekiwaza

Mpaka yakukute ndiyo unyumbu utakutoka kichwani
 
Ewe mwanamke Agnes kwa nini umeyafanya haya? Yani nimekukaribisha na kuwasululisha vizuri maugomvi yenu alafu nilipoondoka ukafanya haya? Uliomba msamaha wa nini sasa kama bado ulikuwa na kinyongo?

Ni hivi huyu mwanamke ni mpenzi wa mdogo wangu kwa muda wa mwaka mmoja lakini waligombana na kuachana kwa muda wa mwezi mmoja kwa sababu walikuwa na ugomvi, sasa juzi nikaitwa kwenda kuwasikiliza na kila mmoja akafunguka kivyake na mwisho wa siku ikaamuliwa yameisha na kila mmoja asahau yaliyopita, mwanamke akaandaa ugali tukala na mimi nikaendelea na shughuli zangu.

Cha ajabu leo nimepigiwa simu niende nimekuta mwanamke amebeba kilicho chake na kutoroka kusikojulikana na simu zake hazipatikani huku ameacha amejisaidia haja kubwa ya kutosha kwenye mabegi ya nguo za mdogo wangu, amekojolea kwenye unga, sukari, na amepaka mavi kitanda kizima!

Yaani mlango wote umepakwa kinyesi ukiingia tu unakanyaga kinyesi, diaba la maji kinaelea kinyesi! Yaani amekishusha hasa sijui alikula nini tu!

Wana jamiiforums tunaomba mawazo yenu tukimkamata huyu tumfanye nini?

Hapa tupo tunafua nguo, inasikitisha sana kwa umri na busara zangu nilizonazo kufua kinyesi cha mwanamke fulani tu ambaye nilimuheshimu kama shemeji!
Dah
 
Haha
 
Kama ulikula ugali aliowapikia basi ushakula Kimba mtu wangu wa nguvu.
 
Back
Top Bottom