Pole sana ila umepewa hela au umepoteza hela?Katikati ya mambo magumu hivi Kuna mtu anafanya muamala na kuweka namba yangu.
Hili limeniuma mno ๐
41092 kama upo humu njoo PM nikuelekeze jambo
View attachment 3512202
Anyway D9 mstari wa mbele kabisa
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃAaah sio vizuri mkuu,yaani nilijua hii curfew ya D9 naishi kibosi kumbe Kuna mtu kaweka tu namba yangu asee
Nilikosea digit moja. Samahani lwa isimbufu