Kwa Umafia huu mkubwa wa FA ya Mbeya, Ihefu FC wakisaidiwa na Watu wa Simba SC 'Unbeaten Record' ingeisha tu leo

Ni sheria gani hiyo shirika la mpira inalazimisha timu kuvaa/kutokuvaa jezi fulani, em nipe sababu ya msingi ya TFF kuwaambia Yanga wasivae jezi flani.!
Tulia mwananchi, hizo kanuni ziliwekwa na vilabu kupitia bodi yake, na ndani yake kuna wajumbe kutoka kila klabu ikiwemo Yanga. kwa hiyo nendeni mkamkabe mjumbe wenu mumuulize kwa nini alipitisha kanuni inayowalazimisha Yanga wasivae jezi nyeusi kila mechi?
 
Naanzaje kukuacha uendelee kupotosha na kuaminisha watu ujinga?
Ningekuwa Mpotoshaji ningekuwa Tajiri wa Followers hapa tena walio Great Thinkers wapatao 127 sasa na siyo Mpumbavu Mwandamizi Mmoja Wewe?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
Nakukubali sana Jasusi Gentamycine.
 
Kinachoniuma sio kufungwa Ila ni kuwa hela tumewapa na kutufunga wametufunga Kwa hisani ya kigere kigere
 
Kumbe chirwa na shishimbi walitembezewa bahasha kocha akawashtukia na kuwatia jukwaani kabisaaaaa
 
Umeandika kama vile unawasimulia watoto zako ambao hawatumii akili kufikiria.

1) ishu ya kubadilika kwa uwanja haiwezi kutokea Yanga wasijue kwasababu kisheria ni kwamba kunapotokea mabadiliko ya uwanja basi inatakiwa timu ijulishwe masaa 24 kabla na sio ishu ya uwanja tu bali mabadiliko yoyote ikiwemo hata muda wa mchezo. Hivyo laiti kama Yanga wangekuwa hawalijui hilo basi walikuwa na haki ya kuugomea mchezo.

2) kwenye mchezo wa mpira wa mguu kuna kitu kinaitwa pre match. Na hufanyika siku moja kabla ya mchezo, hapa ndipo kila tumu inawasilisha rangi ya jezi atakayoitumia katika mchezo husika ambapo mwenyeji ndiye anayepewa kipaumbele cha aina ya jezi kisha timu mgeni ndiye anayepaswa kuangalia rangi ya tofauti na ya mwenyeji.

Stori yako ya kusema yanga wamestukiziwa siku ya mechi kuhusu uwanja na jezi, kawadanganye wasiojua taratibu za mchezo wa soka

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mzee wa kutunga stori (mzee wa propaganda) siku hizi mchezo wa mpira umekuwa watu wakiamka wanajiamulia tu. Endelea kudanganya wehu wenzio
 

Attachments

  • IMG_20221130_134634.jpg
    141.7 KB · Views: 1
Unamsikiliza huyo jamaa kweli? Ni muongo, mbeya na mfitini sana. Amejaa imani za kusadikika tu. Kifupi katika maandiko yake huwa hajui anataka nini.
swali, kwanini hamjavaa jezi zenu hizo nyeusi vs ihefu???
 
Unamsikiliza huyo jamaa kweli? Ni muongo, Mbeya na mfitini sana. Amejaa imani za kusadikika tu. Kifupi katika maandiko yake huwa hajui anataka nini.

Kwa hyo hakuna sheria ya jezi???hv we jamaa unajua nini kwenye soka??sasa kwanini kuna jezi ya home na ya away??bora uwe unapiga kimya tu muda mwingine
 
Hauna Akili acha kunipotezea muda!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…