Kwa umri wangu wa 20's ninamiliki nyumba 3, gari 2, viwanja na mashamba kedekede. Unamiliki nini kwa huo umri wako?

Mkuu Unamiliki Kasoro Akili Ndo Humiliki,Pesa za Urithi zinakuchanganya
 
Unajitangaza, ngoja sasa baadhi ya marafiki zako wakuendee kwa waganga ufilisike. Watu wanaoenda kimyakimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…