Kwa Unayempenda, unayemjali na Kumthamini Mwanao!!

Kwa Unayempenda, unayemjali na Kumthamini Mwanao!!

Gates

Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
48
Reaction score
4
Mitihani Online tunakuletea huduma ya masomo, mazoezi na mitihani online kwa mwanao aliye darasa la nne, tano, sita na saba mlangoni kwako!!. Huna haja ya kusafiri kwenda mbali, pata huduma bora popote na wakati wowote 24/7!!

Tumeandaa mitihani mingi standard kwa ajili ya mwanao. Mwanao atakapojiunga na platform yetu atapata nafasi ya kusoma na walimu bora na mahili na kufanya mazoezi ya kutosha. Atafanya mitihani, tutamsahihishia, tutampa matokeo, tutamfanyia usahihi na tutamshauri nini cha kufanya kufanikiwa kimasomo online kwa gharama ya Sh 10,000/= tu kwa mwezi. Pamoja na hayo, tutakutumia mzazi e mail ya "Daily Progress Update" kila mwanao atakapofanya mtihani kukujulisha maendeleo ya mwanao.

Mitihani Online tunaamini katika vitendo "The Best Way to Learn is by Doing" Msajili mwanao sasa Mitihani Online aimarike kimasomo. Tembelea www.mitihanionline.com sasa. Tumeanza na wanafunzi wa English Medium Schools siyo muda mrefu tunakuja Kiswahili Medium Schools. Tumeweka Mitihani michache ya Mathematics kwa kuanzia lakini siyo muda mrefu tutakuwa kamili. Tunampango wa kuweka mitihani na masomo na video za masomo kwa masomo yote. Tumejipanga kumhudumia mwanao.

Kwa maoni, ushauri, maulizo, ufadhili usisite kuwasiliana nasi kupitia PM, 0657433822, [email protected]
 

Attachments

  • SAMPLE E MAIL TO THE PARENT.png
    SAMPLE E MAIL TO THE PARENT.png
    17.9 KB · Views: 32
  • MATOKEO SAMPLE.png
    MATOKEO SAMPLE.png
    97.7 KB · Views: 31
  • SWALI BILA JIBU SAMPLE.png
    SWALI BILA JIBU SAMPLE.png
    7.5 KB · Views: 43
  • MATOKEO FAILURE SAMPLE.png
    MATOKEO FAILURE SAMPLE.png
    41.6 KB · Views: 42
  • WRONG ANSWER SAMPLE.png
    WRONG ANSWER SAMPLE.png
    6.7 KB · Views: 39
Karibu wewe unayejali elimu ya mwanao! Karibu tukuhudumie! Karibu upate elimu bora! Tunatuma "Daily Progress Update" kukujulisha maendeleo ya mwanao kila wakati afanyapo mtihani wetu. Hii inakupa nafasi ya kujua mwanao anafanya nini hata kama upo mbali naye! Karibuni nyote! Ahsante.
 
Back
Top Bottom