Kwa uongozi huu wa Sasa wa Lissu,Lema na Heche na genge lake wamefeli kwa mengi sana

Administer

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
2,639
Reaction score
2,384
Kwa uongozi huu wa Sasa wa Lissu,Lema na Heche na genge lake wamefeli kwa mengi sana.Hawa watu wanaenda kuuwa chama.

Washauriwe wajiuzuru .Hadi Sasa hakuna hata moja wamewin.Nitahamasisha WANACHADEMA wenye uchungu na hiki chama kufanya maandamano ya amani kushinikiza Hawa watu wajiuzuru kama hawataki kujiuzuru kwa hiari .

Ukicheka na nyani utakula mabua.Mnazidiwa akili hata na G55 kwa kushindwa kujibu hoja zao
 
Lyatonga umekua wamoto mitandaoni akaunti kibao kutengeneza attention vipi Sigrada alishatoka hospital Dodoma mlipompeleka kwa uchunguzi zaidi🤣🤣🤣mnadhani madaktari wanafanya kazi kama wazee wa PGO?
 
Attachments

  • 1000257124.jpg
    1000257124.jpg
    524.7 KB · Views: 24
Wewe umefaulu kwa lipi?
Lisu ashikilie hapohapo ili kila kiroboto kitoke na kubwabwaja
Kwa uongozi huu wa Sasa wa Lissu,Lema na Heche na genge lake wamefeli kwa mengi sana.Hawa watu wanaenda kuuwa chama.

Washauriwe wajiuzuru .Hadi Sasa hakuna hata moja wamewin.Nitahamasisha WANACHADEMA wenye uchungu na hiki chama kufanya maandamano ya amani kushinikiza Hawa watu wajiuzuru kama hawataki kujiuzuru kwa hiari .

Ukicheka na nyani utakula mabua.Mnazidiwa akili hata na G55 kwa kushindwa kujibu hoja zao
 
No Reforms, No Election.
Mrema njoo El Patron tunywe supu.
 
Back
Top Bottom