Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,639
- 2,384
Kwa uongozi huu wa Sasa wa Lissu,Lema na Heche na genge lake wamefeli kwa mengi sana.Hawa watu wanaenda kuuwa chama.
Washauriwe wajiuzuru .Hadi Sasa hakuna hata moja wamewin.Nitahamasisha WANACHADEMA wenye uchungu na hiki chama kufanya maandamano ya amani kushinikiza Hawa watu wajiuzuru kama hawataki kujiuzuru kwa hiari .
Ukicheka na nyani utakula mabua.Mnazidiwa akili hata na G55 kwa kushindwa kujibu hoja zao