Kwa upande wako unaweza toa Tsh milioni 2 upate kazi ?

Kwa upande wako unaweza toa Tsh milioni 2 upate kazi ?

Zingzingzing

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2014
Posts
735
Reaction score
667
Habari yenu wana jf.

Ikiwa imetokea nafasi au fursa ya kupata kazi serikalini lakini ukaambiwa utoe pesa huyo na ukahakikishiwa utapata kaz, vipi kwa upande wako ungetoa?
 
Serikalini ajira zote zinapitia utumishi na naamini pale kuna angalau percent ya uwazi.

Kama utumishi ndio wamekwambia hivyo basi sawa.
 
Hapana 1million nitaboresha kibanda changu baada ya mwaka milioni 30 sikosi.
 
Kuna utapeli ndugu. Nami niliwahi kutapeliwa 400,000 miaka kadhaa iliyopita kwa ahadi za Kama hizi. Kuwa makini Sana, unaweza toa hiyo hela na kazi usipate. Kiukweli ajira za Sasa ni changamoto, unapoenda kuomba kazi Kuna watu Wana watoto/ndugu/majirani/rafiki wanahitaji ajira hizohizo.
Sawa mkuu,ilikuaje hiyo
 
Back
Top Bottom