Kwa upande wako unaweza toa Tsh milioni 2 upate kazi ?

Zingzingzing

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2014
Posts
735
Reaction score
667
Habari yenu wana jf.

Ikiwa imetokea nafasi au fursa ya kupata kazi serikalini lakini ukaambiwa utoe pesa huyo na ukahakikishiwa utapata kaz, vipi kwa upande wako ungetoa?
 
Serikalini ajira zote zinapitia utumishi na naamini pale kuna angalau percent ya uwazi.

Kama utumishi ndio wamekwambia hivyo basi sawa.
 
Alaf mshahara unakuwa unalipwa sh ngap?
 
Hapana 1million nitaboresha kibanda changu baada ya mwaka milioni 30 sikosi.
 
Sawa mkuu,ilikuaje hiyo
 
Sawa mkuu,ilikuaje hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…