Kwa upande wako unaweza toa Tsh milioni 2 upate kazi ?

Ilikuwaje mr
 
Kuna jamaa yangu alipigwa Mill 2 Kwa ahadi ya kupata kazi TANAPA baada ya kutoa tu hiyo pesa jamaa (Yule boss)akawa hapatikani tena kwenye simu yaani...
Kwa ushauli labda upate kwanza hiyo kazi ndo utoe..
 
Aisee
 
Hapo Ni sahihi kabisaa. Bora upate kazi mkataba kwanza ndipo uachie miezi hata 2
 
Mi naweza ili nipate uhamisho, hata cash as long as nifanikiwe kuhama huku niliko
 
Habari yenu wana jf.

Ikiwa imetokea nafasi au fursa ya kupata kazi serikalini lakini ukaambiwa utoe pesa huyo na ukahakikishiwa utapata kaz, vipi kwa upande wako ungetoa?
Siwezi aisee io hela bora nifungulie biashara tu,
 
Hiiii zile elfu sita za uwalimu ndio tumfika hapa! Kazi tunayo....kama ninayo natoa tu as longer as it is a permanent contract.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…