Kwa upande wako unaweza toa Tsh milioni 2 upate kazi ?

Ahahaa.... salute kwake
 
Hatar na robo
 
Ukweli ni kwamba kazi nyingi ambazo utahaidiwa kwa kutoa rushwa uwa hazifanikiwi inawezekana wapo waliofanikiwa kupata ila wengi wao uishia kuzimiwa simu na kuambulia patupu(kutapeliwa). Nnayo mifano hai zaidi ya minne kupitia kwa watu wangu wa karibu ambao walipoteza fedha nyingi kwa ahadi ya kupata kazi kwa rushwa na waliishia kutapeliwa
 
Kweli wanaopata wachache, kuna jamaa alihonga ela ili aende jkt enz zile ,alitoa 1000000 kwa kamanda flan na hakufanikiwa kupata, mzee wake alitoka na panga kwenda kwa jamaa, mwsho wa siku walilipwa ela yao.
 
Natoa icho kiasi atakae nisaidia kupata kazi bandarini
Nimesoma kozi za bandarini toka bandari college
Ela ipo
0718909429
 
Natoa icho kiasi atakae nisaidia kupata kazi bandarini
Nimesoma kozi za bandarini toka bandari college
Ela ipo
0718909429
Shehe humu unajitaftia mattzo bure, utapeliwe ama ufungwe shauri yako
 
Hizo pesa kwanini asiwawezeshe kujiajiri?
 
Hizo pesa kwanini asiwawezeshe kujiajiri?
Hakuna wafanyabiashara pale mkuu yaani hawajui chochote kuhusu biashara nakumbuka walikua wakiambiwa tu kukaa dukani wananuna hao balaa, halafu hawana nidhamu ya pesa wamezoea kutumia zaidi.
 
Hakuna wafanyabiashara pale mkuu yaani hawajui chochote kuhusu biashara nakumbuka walikua wakiambiwa tu kukaa dukani wananuna hao balaa, halafu hawana nidhamu ya pesa wamezoea kutumia zaidi.
Nataka ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…