Kwa upande wangu hawa ndo wanachama bora kwa mwaka mwaka 2024

Mshana Jr - huyu ni mwanachama ambaye ameonesha talanta yake na karama katika kuijenga jamii kisaikolojia , kisosholojia na kiroho na Kwa mbali sana kisiasa .

Sitomuelezea Sana maana huyu ndo GOAT wa JF great of all time tangia jamiiforum imeanzishwa huyo ndo mwanachama bora wa muda wote anastahili kupewa maua yake na kutazamwa Kwa jicho la karibu Kama hazina ya Taifa .

Robert Heriel Mtibeli - huyu anajiita Mtibeli huyu ni Kijana mwenye upeo mkubwa na wa kufikiri na amebarikiwa maarifa na hekima kubwa Sana , na katika umri wake huu mdogo wa 30 (thirties ) tayari ameshapata tuzo maalumu kutoka katika uongozi wa Jamiiforum huyu anastahili tuzo ya 'the youth of the year ' amekuwa akiijenga Sana jamii ya Tanzania .

Manyanza - huyu ni kijana ambaye amekuwa akihubiri Amani Kwa kuamini furaha ya kweli ipo ndani ya mtu, huyu pia anastahili kutazamwa Kwa jicho la karibu Kama hazina ya vijana hasa katika kuwatia moyo watu anafahamika zaidi Kama "hope revival" mfufua matumaini.

Pascal Mayalla - huyu anastahili kupongezwa na kupewa heshima kubwa kuna siasa zinamletea mabishano Ila amekuwa akitoa elimu nzuri Sana Kama journalist wa kujitegemea . somo lake la karma na voice within imemfanya watu wengine wahisi ni Tiss na wengine wahisi ni mzee wa inner voice . serikali na jamii inabidi kumtumza na kumpa heshima yake.

DR HAYA LAND , huyu amekuwa akisambaza positivity kuhusu kujitambua zaidi, na ushauri mbali mbali kuhusu maisha Kwa mwaka 2024 anastahili pia kutambulika Kama mtu aliyeleta mchango chanya hapa jamiiforum .

DR Mambo Jambo huyu daktari wa binadamu amekuwa akitoa elimu dhidi ya magonjwa mbali mbali na pia akitoa elimu kuhusu mambo ya kiroho.

NB : ukiona haujatajwa fahamu tu kuwa wewe pia ni bora Ila kuna vigezo nimevizingatia

Pia uongozi wa jamiiforum muwe na utaratibu wa kuwafikiria hawa feeders wa huu mtandao either Kwa kuwapa compliments mbali mbali .

Maana feeders wengi tumeona wakihama na kuwekeza nguvu katika mitandao mingine na kuutelekeza huu mtandao wetu pendwa.

Compliments sio lazima iwe pesa hata zawadi ndogo Kama calendar, begi, tuzo n.k hii itawafanya watu ambao tunawategemea watulishe maarifa waendelee kubaki hapa hapa JF (GT ).

Maxence Melo
Moderator
Hapo wewe unatumia ID ipi ukiacha hii uliyotumia kupost?
 
List bila mzabzab ni fake.
 
Kuna yule dada alikua anagawa vocha Bantu Lady nafikiri. Muweke hapo.

Natoa agizo kwa mods Cookie na wenzako huyo dada apewe u-Platnumz Member, Maxence Melo akiwauliza vipi mbona hajalipia mwambieni nalipa mimi.
Nyie ahsante kwa upendo huu Mkuu magnifico 🙏🙏🙏 Barikiwa sana. Mwaka 2025 ukawe mwaka wa Baraka kwako, nakuombea usipungukiwe. Happy New Year 2025.
 
Back
Top Bottom