Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Kumradhi kama kuna ambaye nitamkwaza lakini huu ndio ukweli
Watu wengi wamekuwa na kasumba hii......
Anauchukia uislamu ama ukristo kwa sababu tu asili yake sio Afrika na badala yake ni dini zilizo letwa tu
At the same time anasema sijui dini zetu za asili tunazikataa na kuziona hazifai (Ukimwambia akutajie hio dini yake ya asili ni ipi, anakutolea tu macho)
Dini ni mfumo mzima wa maisha ya mwanadamu ambao Mwenyezi Mungu ameuleta kwetu wanaadamu......
Na kila kitu kina chanzo/origin ndio kisambae kwa wengine...
Sasa sidhani kama ingekuwa possible uislamu au ukristo kuanzishwa kila sehemu duniani (Ilikuwa ianzie sehemu then isambae kote)
Sasa wanaopinga na kusema mara sijui zimeletwa na majahazi nawashangaa sana
Kama huzitaki usilazimishe watu wafate ujinga wako ...we nenda katambikie mibuyu na makaburi hamna atakaye kusumbua.
Allahu akbar......bwana yesu asifiwe