Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Mashabiki bwana Spain aliposhinda goli 7 watu wakaipa world cup hata jana hakuna aliyetegemea kilichotokea.Watu wanasema eti Morocco atavunja rekodi na kuingia nusu fainali, lakini baada ya kuiona Ureno jana, waanze kufungasha mabegi tu mapema, na yule mshambuliaji wao butu.
Portugal asipofika fainali, nimekaa palee!
Switzerland sio timu ya kitoto kama Costa RicaMashabiki bwana Spain aliposhinda goli 7 watu wakaipa world cup hata jana hakuna aliyetegemea kilichotokea.
Hili linaweza kuwa kweli kabisaaaa ingawa mpira pia wanauchezea wale jamaa, ni vile hawana goal gettersilaha ya Moroco ni kupaki basi
Morroco ana uwezo wa kumzuia mreno.Watu wanasema eti Morocco atavunja rekodi na kuingia nusu fainali, lakini baada ya kuiona Ureno jana, waanze kufungasha mabegi tu mapema, na yule mshambuliaji wao butu.
Portugal asipofika fainali, nimekaa palee!
Watu wanasema eti Morocco atavunja rekodi na kuingia nusu fainali, lakini baada ya kuiona Ureno jana, waanze kufungasha mabegi tu mapema, na yule mshambuliaji wao butu.
Portugal asipofika fainali, nimekaa palee!