KWA USAJILI HUU LIVERPOOL NI FAVOURITE WA UBINGWA EPL 2025/2026

KWA USAJILI HUU LIVERPOOL NI FAVOURITE WA UBINGWA EPL 2025/2026

AskariKanzu

Member
Joined
Jul 25, 2025
Posts
38
Reaction score
146
Liverpool mabingwa wa msimu 2024-2025 wa ligi ya uingereza nawapa chapuo ya kuchukua tena ubingwa wa msimu ujao.
Hii timu bwana imekamilika kila idara licha ya kuondoka baadhi ya nyota wake pia wamefanya maboresho ya kikosi kwa kusajiri wachezaji kama:-
Frimpong
Kerkez
Wirtz
Ekitike

Msimu uliopita walikuwa na changamoto baadhi ya maeneo ikiwemo mshambuliaji namba 9,ambae Nunez akuwa katika kiwango kizuri licha ya eneo hilo kuchezwa na mara kadhaa na Luis diaz, jota(rip) na lakini bado hawakupata tiba.

Ujio wa Ekitike utaongeza chachu ya ushambuliaji katika safu ya mbele pia wanahusishwa na Alexander Isak ambae kaikataa Newcastle na kutaka kujiunga na Liverpool.

Hii timu imekamilika kiukweli kila idara, hii apa ni top six yangu ya msimu wa 2025/26
1. Liverpool
2. Chelsea
3. Arsenal
4. Man city
5. Aston Villa
6. Tottenham

FB_IMG_17536099697289235.jpg
 
Hatuna namba SITA asili ya kutegemewa!Ryan alichemka baadhi ya game hasa dhidi ya Arsenal na PSG!!

Beki pia konate mzito sana tunahutaji mwingine!!

Deal la Isak ni muhimu sana!!

Ubingwa wa Chelsea msimu ujao,wamekamilika sana!na team Yao imeshaanza kuzoeana!

Slot ameshindwa kumtuliza Diaz!ni muhimu sana akiwepo coz hatuna uhakika kama wirtz na Eketike wats shine msimu wa kwanza kilabuni!!

Lfc wataikamia sana na Arne ame relax mno !atakua na over confidence ambayo itaigharim Team!!
 
Namba sita si Endo nae yupo sema slot hampi nafasi kama alivyokuwa akipewa na klopp. Chelsea wapo sawa lakini defense yao bado sio solid pia kipa Sanchez sio bora
 
Namba sita si Endo nae yupo sema slot hampi nafasi kama alivyokuwa akipewa na klopp. Chelsea wapo sawa lakini defense yao bado sio solid pia kipa Sanchez sio bora
Endo hawezi peke yake,halafu Gravenberch sio natural!!Adam Wharton was crystal palace angetufaa sana!!

Man city wametibu tatizo la Bamba sita Kwa msaini Tijan Reinders.pia.Arsenal wana Zubimend!sisi tuna nani!!?

Chelsea wakijiamini ni wazuri.sana!
 
Kwahiyo bingwa ni Chelsea si ndio?
 
Motivated sana hao jamaa!check game na PSG hatari sana!lfc wata relax sana msimu huu!!
Jibu swali Moja bingwa ni Chelsea halafu sio unazunguka sana sema wewe ni shabiki wa Chelsea sio kujivika timu pinzani Ili kusifia timu Yako
 
Back
Top Bottom