AskariKanzu
Member
- Jul 25, 2025
- 38
- 146
Namba sita si Endo nae yupo sema slot hampi nafasi kama alivyokuwa akipewa na klopp. Chelsea wapo sawa lakini defense yao bado sio solid pia kipa Sanchez sio boraHatuna namba SITA asili ya kutegemewa!Ryan alichemka baadhi ya game hasa dhidi ya Arsenal na PSG!!
Beki pia konate mzito sana tunahutaji mwingine!!
Deal la Isak ni muhimu sana!!
Ubingwa wa Chelsea msimu ujao,wamekamilika sana!na team Yao imeshaanza kuzoeana!
Slot ameshindwa kumtuliza Diaz!ni muhimu sana akiwepo coz hatuna uhakika kama wirtz na Eketike wats shine msimu wa kwanza kilabuni!!
Lfc wataikamia sana na Arne ame relax mno !atakua na over confidence ambayo itaigharim Team!!
Endo hawezi peke yake,halafu Gravenberch sio natural!!Adam Wharton was crystal palace angetufaa sana!!Namba sita si Endo nae yupo sema slot hampi nafasi kama alivyokuwa akipewa na klopp. Chelsea wapo sawa lakini defense yao bado sio solid pia kipa Sanchez sio bora
Kwahiyo bingwa ni Chelsea si ndio?Endo hawezi peke yake,halafu Gravenberch sio natural!!Adam Wharton was crystal palace angetufaa sana!!
Man city wametibu tatizo la Bamba sita Kwa msaini Tijan Reinders.pia.Arsenal wana Zubimend!sisi tuna nani!!?
Chelsea wakijiamini ni wazuri.sana!
Motivated sana hao jamaa!check game na PSG hatari sana!lfc wata relax sana msimu huu!!Kwahiyo bingwa ni Chelsea si ndio?
Jibu swali Moja bingwa ni Chelsea halafu sio unazunguka sana sema wewe ni shabiki wa Chelsea sio kujivika timu pinzani Ili kusifia timu YakoMotivated sana hao jamaa!check game na PSG hatari sana!lfc wata relax sana msimu huu!!