Kwa usajili huu simba kuwa mnyonge sana msimu wa 2019/2020

Nani kasema simba wanamuacha kotei, ndugu usajili kwanza ndio umeanza!! Usiwasikilize akina oscar au kitenge!! Fuatilia official page ya klabu
 
Mayala Tyombana mogange ndezu, unafikiri sijui nini ulikusudia kuleta uzi huu kwa hadhira?

Simba ni professional team with a professional directors haifanyi vitu kizamani, wewe sijui msukuma wa wapi mshamba

MEDIE KAGERE NI U20
 
Simba ilipaswa kuwa na scounting wa maana. Imemkosa Kambole, Tuyisenge na sasa hatihati kumkosa Bwalya hawa wote ni "goal machine" hakuna mjadala. Ghafla wamehamia kwa Ryan Moon mshambuliaji mwenye rekodi mbovu kabisa katika ligi ya South Africa na hata timu yake ya taifa ya Afrika Kusini. Hapa Simba inataka kucheza "BIKO" kwa mshambuliaji aliyezoea kucheza kwenye viwanja bora kabisa South Africa halafu aje acheze kwenye viwanja vyetu vibovu. Ningefarijika iwapo Simba ingemsajili mcolombia kama sikosei anaitwa Leonardo Castro aliyepo hapo hapo Kaizer Chief ambaye alikuwa anampiga benchi Ryan Moon lakini Kaizer Chief wana mpango wa kumuuza.

Simba inahitaji "goal machine" kama Medie Kagere na sio hawa wachezaji wasio na rekodi zenye mwendelezo mzuri. Kwa USD 150,000 nina uhakika kabisa utapata "goal machine" nyingine Zimbabwe, Zambia, Ghana, Nigeria na hata Cameroon. Simba imeshindwa nini hata kumfuatilia yule mshambuliaji mwenye rasta aliyekuja na Asante Kotoko kwenye Simba day?

Na kwa mwendo huu Simba ifanye jitahada kumrudisha Okwi la sivyo inaweza kuwa vituko kwenye ligi ijayo.
 
Ndo asha achwa
Nani kasema simba wanamuacha kotei, ndugu usajili kwanza ndio umeanza!! Usiwasikilize akina oscar au kitenge!! Fuatilia official page ya klabu
[/QUOTE]
 
Ndo asha achwa
Nani kasema simba wanamuacha kotei, ndugu usajili kwanza ndio umeanza!! Usiwasikilize akina oscar au kitenge!! Fuatilia official page ya klabu
[/QUOTE]
Kotei kashasinya kaizer chief kitambo nashangaa huna habari.
 
Nani kasema simba wanamuacha kotei, ndugu usajili kwanza ndio umeanza!! Usiwasikilize akina oscar au kitenge!! Fuatilia official page ya klabu
Vipi Kotei bado ni Mali ya Simba eti.
 
hujiulizi kwa nini ndala/yeboyebo/chura/wa matopeni HUWA MNALALAMIKA KWAMBA ETI MBABE WENU SIMBA SPORT CLUB ANABEBWA???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…