kipanta
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 925
- 1,086
Nani kasema simba wanamuacha kotei, ndugu usajili kwanza ndio umeanza!! Usiwasikilize akina oscar au kitenge!! Fuatilia official page ya klabuKama kweli Simba wana mpango wa kuacha kumsajili Kotei wajue yatawakuta yale yale ya Hamisi Tambwe. Kotei anaweza kucheza kiungo mkabaji, beki wa kati, beki wa pembeni na kiungo mshambuliaji. Na kote anacheza vizuri sana. Kotei anapora mipira sana kitu ambacho viungo wengi wa ligi kuu hawana labda kidogo namuona Fei Toto anakuja vizuri.