Kwa usalama zaidi simu za android zitakua zinajizima zenyewe kila baada ya siku 3

Kwa usalama zaidi simu za android zitakua zinajizima zenyewe kila baada ya siku 3

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
1_20250417_211817_0000.png


Nazani Kuna watu toka wanunue simu hawajawahi kuizima hata mara moja ikitokea imezima basi chaji imeisha kabisa.

Mfumo wa uendeshaji wa simu Google operating system wa android toka Google, sasa wanaweka mfumo mpya wa kisasa wa uwezo wa simu kujizima yenyewe ndani ya siku tatu baada ya kukaa lock (automatic reboot phone).

images (26).jpeg


Siku ya Jumatatu Google play services iliweza kutoa Sera mpya ya usalama kupitia mfumo wa security & privacy kwa watumiaji wa simu za Android kuanzia kwenye app na mfumo mzima wa android yani operating system.

Mfumo huo utawawezesha watu kupitia simu zao kuwa na uwezo wa kujizima na kujiwasha yenyewe bila kuguswa kila baada ya siku tatu endapo itakua kwenye mfumo wa lock.

images (28).jpeg


Muundo huu umekuja kwa kuweza kuwauzia wale watu ambao wanataka kutumia simu za watu bila wahusika kujua chochote kwa kuweza kuizima simu yako yenyewe na kujiwesha baada ya siku tatu kuingia lock.

Mwaka Jana apple waliweza kuiachia hii feature kwa watumiaji wa ios.
 
Samsung ndio baba Lao naitumia mda wote , nikikasirika kununua Samsung hata hawa nyumbu wa iPhone Tanzania wote hawawezi nifikia😂😂😂 jifarijini kwa maneno hayo
 
Me yangu nime set huwa kila j4 na ijumaa saa 00:00 inaji restart
Samsung A55
 
Back
Top Bottom