Kwa ushabiki huu uliopindukia Tanzania inaweza 'kutoboa' kisiasa na kiuchumi?

Kwa ushabiki huu uliopindukia Tanzania inaweza 'kutoboa' kisiasa na kiuchumi?

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Maendeleo ya nchi yoyote hutegemea human resource au rasilimari watu kwanza, aridhi na mitaji, ila kwa Tanzania naona kuna ukakasi mkubwa katika rasilimari watu ya nchi hii.

Sometime na jiuliza who is behind kwa hu uchizi wa watanzania wa arika zote kua na ushabiki ulio pindukia, kuna mkono wa wana siasa ku-divert mawazo or focus ya watanzania kutodai haki zao za kisiasa na uchumi?

Ni Tanzania peke Africa nzima timu mbili zikicheza Simba au yanga almost kazi nyingi zina kua paralysed or standstill, watu wa arika zote asbhi utawakuta wana jadili jambo moja kwa hisia za kweli kweli maofisini, vijueni nyumbani mashuleni mahospitalini nk. wana poteza mda mwingi kijadili matokeo ya mpira aijalishi ni siku ya kazi au laa asbhi jioni au usiku, Kinacho ni shangaza zaidi kwenye hizi timu mpira wenyewe wanao cheza ni wa hovyo wala hauvutii na marefu wa hovyo kabisa siwezi kupoteza, my prime time of 90min kwa kutizama vibonde wanacheza.

Ni lisha wahi kukaa Egypt kwa miaka miwili kuna timu mbili zenye upinzani mkali kuliko hata za hapa ni al Hilal na Zamalek ila watu wa kule wanafanya kazi zao na wengi mashabiki ni vijana watu wazima wachache mno, na mijadala yao ya ushabiki huwanza alhmisi jioni hadi ijumaa, jmosi ni siku ya kazi, hamna mwenye time ya kujadili mpira tena mda wa kazi, mke wangu alisha taka kuleta ushabiki wa simba na yanga nyumbani kwa rangi za nguo zake na wanae ni kampiga stop, mpira hauna masirahi kwa familia yetu achana nao na akanielewa.
 
Iliocheza sio taifa stars, unachokiona ni tamaduni tu, hujawahi kwenda msibani halafu kuna watu wanaitwa watani wanacheka na kukejeli wazi wazi? So kaa utulie mla mihogo.
 
Iliocheza sio taifa stars, unachokiona ni tamaduni tu, hujawahi kwenda msibani halafu kuna watu wanaitwa watani wanacheka na kukejeli wazi wazi? So kaa utulie mla mihogo
Issue sio utani jambo muhimu hapa ni mda nguvu na hisia inao tumika na watanzania kwa timu za kawaida je tutaweza kutoba kiuchumi kwa mihemko kama hiyo wakati tunategemea hao nguvu kazi hiyo hiyo kuaptata maendeleo ya nchi yetu.
 
Back
Top Bottom