PostGE2025 Kwa ushahidi wa videos mbalimbali juu ya ukatili wa polisi dhidi ya wananchi Oct 29-31, Naona kisasi kinakuja muda si mrefu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,517
Reaction score
6,074
Kila siku videos zinazotolewa kabatini zikionesha matendo ya kikatili ya askari polisi dhidi ya wananchi, napata wasiwasi kuwa haya maandamano yanayoratibiwa sio tu ya amani kama jinsi inavyoelezwa , lakini pia naiona vita ya kulipiza kisasi kati ya wananchi walioteswa,

Walionyanyasika , waliopata upweke kwa kuondokewa na ndg zao na kisha kunyimwa hata haki ya kustili miili ya wapendwa wao dhidi ya wauaji ambao kwa mujibu wa videos mbalimbali, wanaoonekana ni askari polisi.

Binafsi sioni maridhiano yakiwa mwarobaini katika siku hizi za karibuni, kwa kweli hapa tulipofika anayejua ni Mungu tu
 
Kila siku videos zinazotolewa kabatini zikionesha matendo ya kikatili ya askari polisi dhidi ya wananchi, napata wasiwasi kuwa haya maandamano yanayoratibiwa sio tu ya amani kama jinsi inavyoelezwa , lakini pia naiona vita ya kulipiza kisasi kati ya wananchi walioteswa, walionyanyasika , waliopata upweke kwa kuondokewa na ndg zao na kisha kunyimwa hata haki ya kustili miili ya wapendwa wao dhidi ya wauaji ambao kwa mujibu wa videos mbalimbali, wanaoonekana ni askari polisi.

kawaida wapo viumbe kwa asili sii wasikivu wala waelewa na mara nyingi ndiyo chanzo cha shida nyingi katika jamiina mataifa.Kama viumbe twawala wa hapa kwetu.
 
Tumebaki tu kugugumia tu na kauli za kujifariji eti "Mungu atalipa" Wengine unawasikia "Damu iliyomwagika haitaenda bure"

Kauli bila vitendo hakuna kinachobadilika na wauaji wataendelea kudunda mitaani.

Poor tanzanians!!!!
 
Wewe ni mkimbizi kutoka nchi gani sijui.
 
Kila siku videos zinazotolewa kabatini zikionesha matendo ya kikatili ya askari polisi dhidi ya wananchi, napata wasiwasi kuwa haya maandamano yanayoratibiwa sio tu ya amani kama jinsi inavyoelezwa , lakini pia naiona vita ya kulipiza kisasi kati ya wananchi walioteswa, walionyanyasika , waliopata upweke kwa kuondokewa na ndg zao na kisha kunyimwa hata haki ya kustili miili ya wapendwa wao dhidi ya wauaji ambao kwa mujibu wa videos mbalimbali, wanaoonekana ni askari polisi.

Binafsi sioni maridhiano yakiwa mwarobaini katika siku hizi za karibuni, kwa kweli hapa tulipofika anayejua ni Mungu tu
Wao wanazo bullet proof na armoured helmet,hivyo hawatishiki na hawaogopi visasi na zaidi wanazo sii tu silaha zamoto ila pia wana vilipuzi machozi na itakapobidi zaidi ya hizo zote.Hivyo wanaishikilia Tanzania!
 
Back
Top Bottom