Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Kipimo cha uwezo wa mtu kufikiri au kipimo cha kupima ujinga wa mtu kichwani ni kuangalia jinsi anavyoweza kuchambua jambo analoambiwa au kusikia.
Chukua simu zako mbili moja ivike uhusika mwingine, huyo mtu awe maarufu fanya kama unachati naye huyo mtu chukua screen shot weka mitandaoni.
Kwa 100% Watanzania watajua ni huyo mtu ndiye kaandika hayo maneno.
Leo wewe jirekodi video ujifanye judge wa ICC na kwamba tarehe 20 mtatoa hukumu kali kwa wauaji wa October 29. Watu wataamini bila kujiuliza maswali madogo madogo.
Kuna mwingine anajiita kanali wa NATO wabongo wameamini kwa 100%.
Mange aliwaambia walambe pasi ya moto, wakalamba.
Amewaambia tena tarehe 9 Disemba wakalamba nondo ya moto inayotoka kwenye machine kweli watakwenda kulamba.