Kwa utafiti wangu binafsi Lissu hana future kisiasa vyama vya upinzani iwe Chadema au ACT Wazalendo ahamie CCM tu. Nasema hivi kwa sababu Chadema wanaonekana hawamtaki wala kambi yake
Matokeo ya Chaguzi ndani ya Chadema ni ushahidi kambi yake wamegaragazwa kanda zote kuanzia akina Pambalu,Msigwa nk hajaambulia kiongozi yeyote hata mmoja kuwa wa kanda
Ukija wenyeviti wa mikoa Chadema kote kagaragazwa kambi yake
Na nafasi yake ya umakamu mwenyekiti tayari mtu kajitokeza kushindana naye kiongozi wa kanda ya ziwa
Kuna tuhuma kuwa ana mpango wa kwenda ACT Wazalendo lakini ACT Wazalendo kwa sasa kimetekwa na wazanzibari huku bara hakina nguvu nguvu iko Zanzibar .Zitto kabwe hana cheo tena ACT Wazalendo ila yeye binafsi angependa Lisu ajiunge ACT Wazalendo na awe mhombea uraisi mwakani lakini wazanzibari hawamtaki kwa sababu ya Chadema walichonfanyia Duni Haji figisu ambazo Lisu alishiriki
Hivyo option pekee ya yeye kuwa ni political future ni CCM tu