Kwa utafiti wangu binafsi Lissu hana future kisiasa vyama vya upinzani iwe CHADEMA au ACT-Wazalendo, ahamie CCM tu

Makapi yenu huko ccm yamewachosha, si mlimnunua msigwa mmegundua mnagarasha msigwa, ccm ni wajinga sana na bado 2025 ndio mtaielewa chadema.
Mbona Lowasa mlimchukua je mlikuwa CCM je mlikuwa na akili au la?
 
Hangaya kummithilisha Lissu na simba hakukosea.
Lissu ni Simba na hafugiki. Akienda CCM atawavuruga wote maana atakuwa ndio kiumbe pekee mwenye akili baina ya mapunguani ya CCM.
 
Mbona Lowasa mlimchukua je mlikuwa CCM je mlikuwa na akili au la?
Alikuja mahali sahihi tena kwa muda sahihi,wewe ulionaje?Ama hujui kuwa fursa inatumiwa inapopatikana,fursa ni adimu zaidi ya fhahabu au almasi.
 
Ndicho hicho Lisu nashauri atumie fursa bado akiwa popular

Chadema ikimtema ndie awaze kuhamia CCM itakuwa too late kwake

Time ya opportunity kwake ni sasa
 
Kakwambia nani anatemwa
 
Kwa utafiti wangu binafsi Lissu hana future kisiasa vyama vya upinzani iwe Chadema au ACT Wazalendo ahamie CCM tu

Nasema hivi kwa sababu Chadema wanaonekana hawamtaki wala kambi yake

Matokeo ya Chaguzi ndani ya Chadema ni ushahidi kambi yake wamegaragazwa kanda zote kuanzia akina Pambalu,Msigwa nk hajaambulia kiongozi yeyote hata mmoja kuwa wa kanda

Ukija wenyeviti wa mikoa Chadema kote kagaragazwa kambi yake

Na nafasi yake ya umakamu mwenyekiti tayari mtu kajitokeza kushindana naye kiongozi wa kanda ya ziwa

Kuna tuhuma kuwa ana mpango wa kwenda ACT Wazalendo lakini ACT Wazalendo kwa sasa kimetekwa na wazanzibari huku bara hakina nguvu nguvu iko Zanzibar .Zitto kabwe hana cheo tena ACT Wazalendo ila yeye binafsi angependa Lisu ajiunge ACT Wazalendo na awe mhombea uraisi mwakani lakini wazanzibari hawamtaki kwa sababu ya Chadema walichonfanyia Duni Haji figisu ambazo Lisu alishiriki

Hivyo option pekee ya yeye kuwa ni political future ni CCM tu
Hii ni ramli wala si utafiti. Lisu angekuwa anataka vyeo vya CCM ingekuwa hata ni waziri kwa sasa. Msimamo wake ni kuondoa status quo na kuja na mfumo mpya wa uongozi.
 
Sio rahisi kwa Lisu mpinzani pekee ambaye angeweza kuondoa CCM madarakani ni Lowasa tu

2015 CCM iliponea chupuchupu

Lowasa alikuwa akiungwq mkono na matajiri wakubwa wenye pesa nchi nzima hivyo hakuwa na shida ya pesa za kampeni

Pili aliungwa mkono na makundi ya vijana bila kujali vyama na viongozi wa dini wote wakubwa imani zote na wasomi maproffessor bila aibu walimuunga mkono

Zanzibar pia alikubalika na upinzani mia kwa mia bila asilimia kubaki. Lisu Zanzibar hamba kitu

Lisu pesa hana gari yake tu anaomba achangiwe hana kundi lolote maalumu unalloyed sema Lisu kundi kubwa linalomuunga mkono ni lipi yupo yupo tu na kupiga mayowe kwakwe

Hata yeye muulize hivi wewe Tundu Lisu wanaokuunga mkono kina nani hasa kundi kubwa?

CCM kama ilikoswa kuondoka madarakani 2015 itachukua miaka mingi mno upinzani kuja kujijenga kufikia kiwango cha Lowasa may be baada ya miska 50 ijayo

Ila kwa huyu Tundu Lusu hawezi he is just a political commedian kuchangamsha tu siasa na comedy zake za mama Abdul na Abdul
 
Kwa
Watu walikuwa wanashinda jela kwa ajili kutaka kuiondoa CCM madarakani ndio useme kuwa hawako serious kuindoa CCM madarakani?watu wanaimba kila siku kuhusu katiba mpya itakayotoa mwanya wa kuiondoa CCM madarakani unasema kuwa hawako serious kuiondoa CCM madarakani?.

CCM wanajua kabisa kuwa watu wako serious kuwaondoa madarakani ndiomaana hawataki katiba mpya,ndiomaana wanapitishana bila kupingwa,na walishaweka wazi kabisa kuwa hawako tayari kukabidhi nchi kwa karatasi ya kura na endapo watashindwa watakimbilia mstuni kuzipiga ili warudi madarakani.

Kwa kifupi ni kwamba CCM walipokea mfumo wa vyama vingi kwa shingo upande kutokana na kulazimishwa na wazungu ndiomaana wanapiga vigeregere wanapoona watu kama akina Msigwa wanapohamia kwao.

Kwa kuwa hawataki upinzani imara unao hatarisha maslahi yao na hawako tayari kuona ushindani mkali kama wa Simba na Yanga wanataka mseleleko.
Labda uwadanganye wajinga!! Kwa vigezo vyangu, taifa, linahitaji vyama mbadala na sio huu ujinga wa kuimba, katiba mpya eti umemaliza kuwa serious. Viongoz wa upinzani wanakula rushwa na Lissu kawambia, waz, waz. Ww unasema wapo serious. Viongoz kama mbowe wapo kwenye uongozi miaka na miaka, ww unasema wapo serious. Huo ni ujinga.
 
Unavyo waona wenzako wajinga na wao wanakuona mjinga vilevile.
 
Siasa za Africa hazieleweki
Kuhama chama ni jambo la kawaida kwao, ila kwa wenzetu ni vigumu sana bora kujiuzulu siasa kuliko kuhama
Mbona mpira hawahami?
Siasani huku kwetu zama hizi wamejaa mapropesa tu !
Wanachojali wao ni maslahi yao tu na kuwalaghai wapiga kura wao !
 
Kwa utafiti wangu binafsi Lissu hana future kisiasa vyama vya upinzani iwe Chadema au ACT Wazalendo ahamie CCM tu

Nasema hivi kwa sababu Chadema wanaonekana hawamtaki wala kambi yake

Matokeo ya Chaguzi ndani ya Chadema ni ushahidi kambi yake wamegaragazwa kanda zote kuanzia akina Pambalu,Msigwa nk hajaambulia kiongozi yeyote hata mmoja kuwa wa kanda

Ukija wenyeviti wa mikoa Chadema kote kagaragazwa kambi yake

Na nafasi yake ya umakamu mwenyekiti tayari mtu kajitokeza kushindana naye kiongozi wa kanda ya ziwa

Kuna tuhuma kuwa ana mpango wa kwenda ACT Wazalendo lakini ACT Wazalendo kwa sasa kimetekwa na wazanzibari huku bara hakina nguvu nguvu iko Zanzibar .Zitto kabwe hana cheo tena ACT Wazalendo ila yeye binafsi angependa Lisu ajiunge ACT Wazalendo na awe mhombea uraisi mwakani lakini wazanzibari hawamtaki kwa sababu ya Chadema walichonfanyia Duni Haji figisu ambazo Lisu alishiriki

Hivyo option pekee ya yeye kuwa ni political future ni CCM tu
Wewe Chawa mdogo, huu utafiti uchwara umeufanyia wapi eti....?

Bila shaka ni kwenye vungu za viti vya bwana zako pale Lumumba hususani Amos Makala - Katibu wa Itikadi na uenezi wa - Chama Cha Machawa - CCM........!
 
Back
Top Bottom