Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Mbona huyo simba alikua anafugika kwenye kabandaHangaya kummithilisha Lissu na simba hakukosea.
Lissu ni Simba na hafugiki. Akienda CCM atawavuruga wote maana atakuwa ndio kiumbe pekee mwenye akili baina ya mapunguani ya CCM.
Ni kweli kabisa tena sio maslahi tu na unafiki wa hali ya juuSiasani huku kwetu zama hizi wamejaa mapropesa tu !
Wanachojali wao ni maslahi yao tu na kuwalaghai wapiga kura wao !
Tuupe muda sio kesi kama uko sawa au la usijipe pressure nitakurudia ukitimiaHuu utafiti umeufanyia wapi...?
Bila shaka ni kwenye vungu za viti vya bwana zako pale Lumumba hususani Amos Makala - Katibu wa Itikadi na uenezi wa - Chama Cha Machawa - CCM........!
Au sio?Mbona huyo simba alikua anafugika kwenye kabanda
Lowassa alikuwa mpinzani lini?Sio rahisi kwa Lisu mpinzani pekee ambaye angeweza kuondoa CCM madarakani ni Lowasa tu
2015 CCM iliponea chupuchupu
Lowasa alikuwa akiungwq mkono na matajiri wakubwa wenye pesa nchi nzima hivyo hakuwa na shida ya pesa za kampeni
Pili aliungwa mkono na makundi ya vijana bila kujali vyama na viongozi wa dini wote wakubwa imani zote na wasomi maproffessor bila aibu walimuunga mkono
Zanzibar pia alikubalika na upinzani mia kwa mia bila asilimia kubaki. Lisu Zanzibar hamba kitu
Lisu pesa hana gari yake tu anaomba achangiwe hana kundi lolote maalumu unalloyed sema Lisu kundi kubwa linalomuunga mkono ni lipi yupo yupo tu na kupiga mayowe kwakwe
Hata yeye muulize hivi wewe Tundu Lisu wanaokuunga mkono kina nani hasa kundi kubwa?
CCM kama ilikoswa kuondoka madarakani 2015 itachukua miaka mingi mno upinzani kuja kujijenga kufikia kiwango cha Lowasa may be baada ya miska 50 ijayo
Ila kwa huyu Tundu Lusu hawezi he is just a political commedian kuchangamsha tu siasa na comedy zake za mama Abdul na Abdul
Lissu ni independent, akihamia CCM hatakuwa na uhuru wa kuamua lipi,wao CCM wana corrective leadership tofauti na Chadema.Ndicho hicho Lisu nashauri atumie fursa bado akiwa popular
Chadema ikimtema ndie awaze kuhamia CCM itakuwa too late kwake
Time ya opportunity kwake ni sasa
Huko ccm mmezoea makambi eti? Huruma,!Kwa utafiti wangu binafsi Lissu hana future kisiasa vyama vya upinzani iwe Chadema au ACT Wazalendo ahamie CCM tu
Nasema hivi kwa sababu Chadema wanaonekana hawamtaki wala kambi yake
Matokeo ya Chaguzi ndani ya Chadema ni ushahidi kambi yake wamegaragazwa kanda zote kuanzia akina Pambalu,Msigwa nk hajaambulia kiongozi yeyote hata mmoja kuwa wa kanda
Ukija wenyeviti wa mikoa Chadema kote kagaragazwa kambi yake
Na nafasi yake ya umakamu mwenyekiti tayari mtu kajitokeza kushindana naye kiongozi wa kanda ya ziwa
Kuna tuhuma kuwa ana mpango wa kwenda ACT Wazalendo lakini ACT Wazalendo kwa sasa kimetekwa na wazanzibari huku bara hakina nguvu nguvu iko Zanzibar .Zitto kabwe hana cheo tena ACT Wazalendo ila yeye binafsi angependa Lisu ajiunge ACT Wazalendo na awe mhombea uraisi mwakani lakini wazanzibari hawamtaki kwa sababu ya Chadema walichonfanyia Duni Haji figisu ambazo Lisu alishiriki
Hivyo option pekee ya yeye kuwa ni political future ni CCM tu
Kijana una Shule ndogo. Kichwani Au ni wale wenye D mbili??Kwa utafiti wangu binafsi Lissu hana future kisiasa vyama vya upinzani iwe Chadema au ACT Wazalendo ahamie CCM tu
Nasema hivi kwa sababu Chadema wanaonekana hawamtaki wala kambi yake
Matokeo ya Chaguzi ndani ya Chadema ni ushahidi kambi yake wamegaragazwa kanda zote kuanzia akina Pambalu,Msigwa nk hajaambulia kiongozi yeyote hata mmoja kuwa wa kanda
Ukija wenyeviti wa mikoa Chadema kote kagaragazwa kambi yake
Na nafasi yake ya umakamu mwenyekiti tayari mtu kajitokeza kushindana naye kiongozi wa kanda ya ziwa
Kuna tuhuma kuwa ana mpango wa kwenda ACT Wazalendo lakini ACT Wazalendo kwa sasa kimetekwa na wazanzibari huku bara hakina nguvu nguvu iko Zanzibar .Zitto kabwe hana cheo tena ACT Wazalendo ila yeye binafsi angependa Lisu ajiunge ACT Wazalendo na awe mhombea uraisi mwakani lakini wazanzibari hawamtaki kwa sababu ya Chadema walichonfanyia Duni Haji figisu ambazo Lisu alishiriki
Hivyo option pekee ya yeye kuwa ni political future ni CCM tu
Wana makambi kama yote, mara kambi Samia, mara kambi Msoga, mara Sukuma gang, mara kambi ya Tulia, nk nk nk......Hata ndani ya sisiemu hakuna mwenye future. Wanatumbuana na kusalitiana kila leo. Walioshangilia kabudi na Lukuvi kutoswa leo wako nje ya uwanja
Hamna mwenye future Tanzania, hakuna democracy na hata watawala nao hawana future nzuri, niambie Rais yupi ana legacy nzuri Tanzania. No democracy no future for allKwa utafiti wangu binafsi Lissu hana future kisiasa vyama vya upinzani iwe Chadema au ACT Wazalendo ahamie CCM tu
Nasema hivi kwa sababu Chadema wanaonekana hawamtaki wala kambi yake
Matokeo ya Chaguzi ndani ya Chadema ni ushahidi kambi yake wamegaragazwa kanda zote kuanzia akina Pambalu,Msigwa nk hajaambulia kiongozi yeyote hata mmoja kuwa wa kanda
Ukija wenyeviti wa mikoa Chadema kote kagaragazwa kambi yake
Na nafasi yake ya umakamu mwenyekiti tayari mtu kajitokeza kushindana naye kiongozi wa kanda ya ziwa
Kuna tuhuma kuwa ana mpango wa kwenda ACT Wazalendo lakini ACT Wazalendo kwa sasa kimetekwa na wazanzibari huku bara hakina nguvu nguvu iko Zanzibar .Zitto kabwe hana cheo tena ACT Wazalendo ila yeye binafsi angependa Lisu ajiunge ACT Wazalendo na awe mhombea uraisi mwakani lakini wazanzibari hawamtaki kwa sababu ya Chadema walichonfanyia Duni Haji figisu ambazo Lisu alishiriki
Hivyo option pekee ya yeye kuwa ni political future ni CCM tu
CCM INATEGEMEA WAHITIMU WA SIASA TOKA CHUO KIKUU CHADEMA, BILA CHADEMA CCM NI NYANGARAKASHA TU.Kwa utafiti wangu binafsi Lissu hana future kisiasa vyama vya upinzani iwe Chadema au ACT Wazalendo ahamie CCM tu
Nasema hivi kwa sababu Chadema wanaonekana hawamtaki wala kambi yake
Matokeo ya Chaguzi ndani ya Chadema ni ushahidi kambi yake wamegaragazwa kanda zote kuanzia akina Pambalu,Msigwa nk hajaambulia kiongozi yeyote hata mmoja kuwa wa kanda
Ukija wenyeviti wa mikoa Chadema kote kagaragazwa kambi yake
Na nafasi yake ya umakamu mwenyekiti tayari mtu kajitokeza kushindana naye kiongozi wa kanda ya ziwa
Kuna tuhuma kuwa ana mpango wa kwenda ACT Wazalendo lakini ACT Wazalendo kwa sasa kimetekwa na wazanzibari huku bara hakina nguvu nguvu iko Zanzibar .Zitto kabwe hana cheo tena ACT Wazalendo ila yeye binafsi angependa Lisu ajiunge ACT Wazalendo na awe mhombea uraisi mwakani lakini wazanzibari hawamtaki kwa sababu ya Chadema walichonfanyia Duni Haji figisu ambazo Lisu alishiriki
Hivyo option pekee ya yeye kuwa ni political future ni CCM tu
wana siasa wa bongo ni wasaka tonge na sio wakombozi wa taifaSiasa za Africa hazieleweki
Kuhama chama ni jambo la kawaida kwao, ila kwa wenzetu ni vigumu sana bora kujiuzulu siasa kuliko kuhama
Mbona mpira hawahami?
Watu mpaka wanafikia kuuwana au kurogana na kubebana kwa ajili ya kuingia madarakani, hapo ujue ni njaa zao wajaze matumbo tuwana siasa wa bongo ni wasaka tonge na sio wakombozi wa taifa
UHARO WA MTORI 🤔🤔🤣Kwa utafiti wangu binafsi Lissu hana future kisiasa vyama vya upinzani iwe Chadema au ACT Wazalendo ahamie CCM tu
Nasema hivi kwa sababu Chadema wanaonekana hawamtaki wala kambi yake
Matokeo ya Chaguzi ndani ya Chadema ni ushahidi kambi yake wamegaragazwa kanda zote kuanzia akina Pambalu,Msigwa nk hajaambulia kiongozi yeyote hata mmoja kuwa wa kanda
Ukija wenyeviti wa mikoa Chadema kote kagaragazwa kambi yake
Na nafasi yake ya umakamu mwenyekiti tayari mtu kajitokeza kushindana naye kiongozi wa kanda ya ziwa
Kuna tuhuma kuwa ana mpango wa kwenda ACT Wazalendo lakini ACT Wazalendo kwa sasa kimetekwa na wazanzibari huku bara hakina nguvu nguvu iko Zanzibar .Zitto kabwe hana cheo tena ACT Wazalendo ila yeye binafsi angependa Lisu ajiunge ACT Wazalendo na awe mhombea uraisi mwakani lakini wazanzibari hawamtaki kwa sababu ya Chadema walichonfanyia Duni Haji figisu ambazo Lisu alishiriki
Hivyo option pekee ya yeye kuwa ni political future ni CCM tu
Lissu ndiye mbeba bendera wetu Chadema 2025, kamwe hawezi kuhamia chama ambacho serikali yake ilipanga njama za kumtoa uhai, Lissu siyo mjinga kiasi hicho.Kwa utafiti wangu binafsi Lissu hana future kisiasa vyama vya upinzani iwe Chadema au ACT Wazalendo ahamie CCM tu
Nasema hivi kwa sababu Chadema wanaonekana hawamtaki wala kambi yake
Matokeo ya Chaguzi ndani ya Chadema ni ushahidi kambi yake wamegaragazwa kanda zote kuanzia akina Pambalu,Msigwa nk hajaambulia kiongozi yeyote hata mmoja kuwa wa kanda
Ukija wenyeviti wa mikoa Chadema kote kagaragazwa kambi yake
Na nafasi yake ya umakamu mwenyekiti tayari mtu kajitokeza kushindana naye kiongozi wa kanda ya ziwa
Kuna tuhuma kuwa ana mpango wa kwenda ACT Wazalendo lakini ACT Wazalendo kwa sasa kimetekwa na wazanzibari huku bara hakina nguvu nguvu iko Zanzibar .Zitto kabwe hana cheo tena ACT Wazalendo ila yeye binafsi angependa Lisu ajiunge ACT Wazalendo na awe mhombea uraisi mwakani lakini wazanzibari hawamtaki kwa sababu ya Chadema walichonfanyia Duni Haji figisu ambazo Lisu alishiriki
Hivyo option pekee ya yeye kuwa ni political future ni CCM tu
Yaani hizo kambi tusizijue sisi wanachama azijue huyo chawa wa CCM. Huyu hata hamfahamu Lissu anamsoma tu.mbona hao wagombea wa kanda hawakusema kwamba walikuwa na kambi ( Lissu v Mbowe)? Hizi kambi zimetokea wapi au zilianza lini?
sadaka wanatoa ili waonekaneWatu mpaka wanafikia kuuwana au kurogana na kubebana kwa ajili ya kuingia madarakani, hapo ujue ni njaa zao wajaze matumbo tu
Mbali na kuingia serikalini bado hawana msaada wowote kwa wananchi
Sidhani kama Ssdaka wwnatoa maana ukiwa mshirikina basi unakuwa na roho ya kishetani
Kuna baadhi sehemu zao walizogombea shule haina hata vyoo vya maana ila hata kutoa mchango wa 1m hawezi kutoa na kuiambia serikali pia hawezi
Sasa huyo ni binadamu kweli?