KWA UTAFITI WANGU NIMEGUNDUA HILI.

KWA UTAFITI WANGU NIMEGUNDUA HILI.

msabillah

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
4,764
Reaction score
3,192
Aisee kutokana na ile hard talk kwa ndugu yetu TL, inaonyesha wazi kuna asilimia fulani ya watu kupungua kwa wanamuunga mkono.
Kwani kunavitu alivijibu kishabiki badala ya kusema kweli, moja ya mambo hayo ni suala la Ushoga hapa ndipo alipochapia yaani aliongea kuwafurahisha wazungu badala ya kuongea kuwafulahisha watanzania.
Kuna vitu ambavyo viko wazi kabisa hata ukiamshwa usiku wamanane uulizwe kuwa ushoga watanzania mnautaka au hamuutaki, Watanzania asilimia 99. 5 watasema hatuutaki kwasababu siyo mila na tamaduni zetu pia ni kinyume na maagizo ya Imani zote iwe kipagani, kikiristo, au hata Kiislamu. Sasa wewe unaonyesha kutetea kabisa bila hata uoga..
Ni hayo tu.
Basless infor.....

Luksa povu.
Matusi hakuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WAZIRI MAHIGA ALISEMAJE KUHUSU HOJA HIO BAADA YA KUIBULIWA NA MAKONDA?

USIPOTEZE KUMBUKUMBU MKUU


_104172054_capture.jpg
 
Back
Top Bottom