Kenya wana changamoto zao, wanachokitaka wananchi ndicho kitakacho pitishwaHili ni suala muhimu kwa sababu lazima katika baadhi ya mambo nchi zote zifanane katika sheria za kikodi
Acha unafiki, wewe Jana ndio ulikuwa una kebehi maandamano. Leo maandamano yamefanikiwa unauliza maswali ya kijinga.Hili ni suala muhimu kwa sababu lazima katika baadhi ya mambo nchi zote zifanane katika sheria za kikodi
Sio kweli.EAC ni mpango wa Ku monitor colonies Zake vizuri kupitia, nitashangaa Sana kama viongozi wa usalama wa tz 🇹🇿 hawajalishukia hili swala.
Eti Kenya na Rwanda waneruhusu watu kuingia bila Visa, wana taka na SS tuige.Yeah.....wakiwa hawako pamoja ni vigumu kuwa-pin
Rutto is a Natto Project, Russia and China wanam-pindownEti Kenya na Rwanda waneruhusu watu kuingia bila Visa, wana taka na SS tuige.
Rwanda anapokea wahamiaji haramu kutoka England, Uganda pia alipokea kutoka Afghanistan tusipo kuwa Makini hawa wahamiaji haramu wataishia TZ
Wanasoma kwa pamoja kama fashion tu, lakini wala bajeti zao hazina mafungamano ya hivyo.Hili ni suala muhimu kwa sababu lazima katika baadhi ya mambo nchi zote zifanane katika sheria za kikodi