Kwa utaratibu wa jumuia ya Afrika Mashariki, bajeti zote hupitishwa siku moja, nini athari ya Kenya kuondoa Finance Bill?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Hili ni suala muhimu kwa sababu lazima katika baadhi ya mambo nchi zote zifanane katika sheria za kikodi
 
EAC ni mpango wa Ku monitor colonies Zake vizuri kupitia, nitashangaa Sana kama viongozi wa usalama wa tz 🇹🇿 hawajalishukia hili swala.
 
Acha unafiki, wewe Jana ndio ulikuwa una kebehi maandamano. Leo maandamano yamefanikiwa unauliza maswali ya kijinga.
 
EAC ni mpango wa Ku monitor colonies Zake vizuri kupitia, nitashangaa Sana kama viongozi wa usalama wa tz 🇹🇿 hawajalishukia hili swala.
Yeah.....wakiwa hawako pamoja ni vigumu kuwa-pin
 
Eti Kenya na Rwanda waneruhusu watu kuingia bila Visa, wana taka na SS tuige.

Rwanda anapokea wahamiaji haramu kutoka England, Uganda pia alipokea kutoka Afghanistan tusipo kuwa Makini hawa wahamiaji haramu wataishia TZ
 
Rutto is a Natto Project, Russia and China wanam-pindown
 
Hili ni suala muhimu kwa sababu lazima katika baadhi ya mambo nchi zote zifanane katika sheria za kikodi
Wanasoma kwa pamoja kama fashion tu, lakini wala bajeti zao hazina mafungamano ya hivyo.
 
Back
Top Bottom