Kwa utendaji huu ukimlinganisha na Hayati Magufuli, ni busara Rais Samia asigombee 2025

Hivi ikitokea nyumbani kwako wewe baba ukafa leo,unafikiri mkeo ataweza kuiendeleza familia yako kama ulivyo kuwa ukiiongaza wewe ndani ya miezi 5 tu?.
Ebu acheni huu ujinga kwa mama ambaye ndiyo bado anamiezi mi5 tu madalamani.
 
Mijadala ya nafasi za kisiasa inielekeze zaidi kuleta demokrasia. Bila demokrasia itakuwa ni yale yale. Hata CCM imlete Bernard Membe, bado hali itakuwa hii hii. Tunahitaji mabadiliko makubwa zaidi ya kubqdilisha mtu na kubakia na chama kile kile.
 

wewe bado una usongo tu mambo ya JPM ni yaleyale. Miradi ile ile na viongozi ni walewale . Tofauti kubwa ni chanjo. Ulitaka Mama afanye nini kwa miezi minne tu. Wewe umefanya kipi kipya kwa miezi minne
 
Point.
 
Kweli mkuu mama anapwaya sana inabidi atupishe tupate magufuli mpya.
 
Nadhani una matatizo au chuki binafsi,nikajua umeweka ushahidi kumbe huna unachoongea .

Kwangu mimi so far amewashinda wengi kwa mda mfupi tena across sectors kuanzia kilimo hadi afya
 
Impacts ipo Sana tuu tofauti ni propaganda kwa sasa hazipo kwa hiyo inatakiwa TBC na vyombo vyao vingine vya habari vitumike kuonesha nini kinafanyika kama akina Ben Mwanantala wanavyofanya
 
2025 uchaguzi ni moto huyo mmakunducho aende tu si atalindwa kura bure asepe tuuu
 
Kamatia hapo hapo Maza Ili hata ukitoka uje useme nilijenga vituo vya afya zaidi kuliko mtu yoyote.

Mwaka huu vitajengwa 200 ,Magu miaka 6 alijenga 450 .. Lazima ligacy kwenye afya ya wamama ibaki.Afu Jana Mwigulu kaongea vizuri sana next year kuna watoto wengi wataanza shule kwa kutumia bajeti za kawaida za serikali hauwezi ku accommodate wote
 
 
 
Watu wasiozidi 6 tu ndani ya CCM ndiyo huamua nani awe Rais wa nchi akiwemo yeye Samia kama Rais.

Sasa kwa katiba hii usijidanganye ndugu kuchukua form 2025 utajichosha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…