Kwa utendaji huu ukimlinganisha na Hayati Magufuli, ni busara Rais Samia asigombee 2025

Nahifadhi comment yako Hii..
 
Watu wasiozidi 6 tu ndani ya CCM ndiyo huamua nani awe Rais wa nchi akiwemo yeye Samia kama Rais.

Sasa kwa katiba hii usijidanganye ndugu kuchukua form 2025 utajichosha tu.

Huyu Mama 2025 atashughulilikwa na mfumo dume pasi shaka. Alipoenda Malawi juzi alikutana na aliyekuwa rais wa nchi hiyo Joyce Banda ambaye alijikuta anashughulikiwa na mfumo dume.
 
Rudi kwenye Ilani ya uchaguzi then utajua direction.
Matizo ya Nchi hii ni tozo?.

#Tuache kudeka.
 


wa PAYE wanalimwa kweli kweli serikali inachukua up to 30% kwa sector binafsi
 
Wakulaumiwa wa kwanza ni Bunge wakifuatiwa na serikali...Bunge ndo linalopitisha sheria zote hizi kandamizi, hata hawahoji sheria ina-impact vipi raia

Bunge lina-enable mambo yote haya...lakini utashangaa Haya mambo yote tunasahau na 2025 mtu anaenda kwenye kampeni ya chama fulani pale Kirumba , Mwanza akijibinua kiuno akisema "Fulani fulani mama lao" 🤣🤣


chezea kijani ww
 
Huyu Mama 2025 atashughulilikwa na mfumo dume pasi shaka. Alipoenda Malawi juzi alikutana na aliyekuwa rais wa nchi hiyo Joyce Banda ambaye alijikuta anashughulikiwa na mfumo dume.
CCM bwana. Atapita bila wasi wasi. Wote majizi inapofika uchaguzi wanalindana wahakikishe hawatoki madarakani
 
Wote wako sawasawa tu. Ni madhalimu vilevile kama mkuki mdogo na kwa mkuki mkubwa.
 
Sasa nikuambie hilo suala la elimu bure lipo tu kwenye midomo ya hao watu.Ukisomesha wanao shule hizi za kayumba ndio utajua kuna elimu bure au porojo ni kama pia wazee matibabu bure hicho kitu hamna au ile wanaita bima ya afya ni utapelitapeli tu
Kwa mtazamo wangu elimu bure ilikuwa ni cheap politics za Magu, ifutwe kabisa!! Itakuja kutengeneza kizazin cha ajabu kabisa cha elimu!! Sioni ubaya wazazi kuchangia hata laki 1 kwa mwezi, itasaidia kutengeneza sense of responsibility pia
 
Tatizo nalo liona ni juhudi za watu kujaribu kufuba au kuua "legacy" ya ambayo italeta madhara makubwa ktk nchi kwani uelewa wa wananchi sasa hivi umebadilika. Kuhusu Tozo sio mbaya bali inatakiwa iende na mzimu wa kujua kama nchi tunahitaji vitu gani , ili tusonge mbele kimaendeleo, kiuchumi na kiajira uwekezaji wetu Kulenge vitu gani. " JNHEP" SGR daraja la Busisi n.k .
Na asiwaachie "wale wafanya biashara wanaompigia simu au kumuona " ndio wampe muongozo wa kukuza uchumi.
Wao watataka malori yaendele na visymbion na hapa ndio naona kuna tatizo na jingine ni la wanasiasa wetu uchwara kutaka kuhodhi mambo Mengi ya kiuchumi na kisiasa ambapo hii itatuletea matatizo makubwa.
 
Mitano tena Mama mpk kieleweke tunataka maendeleo idara za Elimu(Msingi&sec) Afya, kilimo, miundombinu ya Barabara n.K.
Naamin hakuna nchi duniani iliyopata MAendeleo bila wananchi wake kuumia/kuteseka kwenye kodi
 
Kwa mtazamo wangu elimu bure ilikuwa ni cheap politics za Magu, ifutwe kabisa!! Itakuja kutengeneza kizazin cha ajabu kabisa cha elimu!! Sioni ubaya wazazi kuchangia hata laki 1 kwa mwezi, itasaidia kutengeneza sense of responsibility pia
Kabisa mkuu,ni upuuzi tu aliokuja nao jiwe kujitwalia tu utukufu lakini kiuhalisia hicho kitu kitu kinachoitwa elimu bure haki-exist
 
Mitano tena Mama mpk kieleweke tunataka maendeleo idara za Elimu(Msingi&sec) Afya, kilimo, miundombinu ya Barabara n.K.
Naamin hakuna nchi duniani iliyopata MAendeleo bila wananchi wake kuumia/kuteseka kwenye kodiView attachment 1902424
Ni kweli kabisa kama tunataka kujitegemea kwa maana halisi basi tutambue kuwa kodi hazikwepeki.

Mzungu ana matatizo rundo hawezi kila siku akawa ndio mwokozi wa bajeti yetu.
 
Wewe ndio hujaelewa dira yake, tuambie dira ya magufuli ilikua ni ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…