Samia, eneo aliloharibu kabisa ni hili la kumbambikia Mbowe kesi ya ugaidi. Na huenda hili limefanywa na mahasimu wake ndani ya CCM ili kuhakikisha Samia anaingia kwenye mgogoro mkubwa na wananchi wapenda haki na jamii ya kimataifa. Na wamefanikiwa.
Sasa wanaompinga wameongezeka. Hapo mwanzo waliokuwa wakimpinga na kumsema vibaya Samia ni wale wafia Magufuli. Lakini sasa kundi limekuwa kubwa dhidi yale.