Pre GE2025 Kwa utendaji huu uliotukukuka wa Rais Samia huenda 2026 bunge litakosa Wapinzani labda wapewe upendeleo maalumu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Kwa utendaji huu uliotukukuka wa Rais Samia huenda 2026 bunge litakosa Wapinzani labda wapewe upendeleo maalumu

Wadau hamjamboni nyote

Huo ndiyo ukweli na lazima usemwe kuwa Rais Samia amefanya mambo mema na makubwa ambayo yamewashangaza mamilioni ya watanzania na raia wengi wa Afrika na duniani kote.

Sina ulazima kuweka ushahidi kwani naamini kila kitu kipo wazi

Nashauri ufanyike upendeleo maalumu kwa wenzetu hao kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 vinginevyo msije shangaa bunge la 2026 likakosa Wapinzani kabisa

Viva Rais Samia
Viva CCM
Viva Tanzania
 
1.uuzwaji was bandari!
2.kuhamishwa wamasai ngoro. Ngoro!

3.kuipa kisogo katiba mpya!Agizo kuu la Dola!

Kumesiriba Kila kitu!!

Hoja za lisu sio hoja za chadema,ni za dola baada ya sisi CCM kugeuka chawa badala ya kuwa wakosoaji wakuu watengenezaji was hatma ya Tz ijayo tunashabikia matumbo ya makada!!
 
Kwa utendaji huu uliotukukuka wa Rais Samia huenda 2026 bunge litakosa Wapinzani labda wapewe upendeleo maalumu

Wadau hamjamboni nyote

Huo ndiyo ukweli na lazima usemwe kuwa Rais Samia amefanya mambo makubwa ambayo yamewashangaza mamilioni ya watanzania

Sina ulazima kuweka ushahidi kwani naamini Kila kitu kipo wazoi

Nashauri ufanyike upendeleo maalumu kwa wenzetu hao kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 vinginevyo msije shangaa bunge la 2026 likakosa Wapinzani kabisa

Viva Rais Samia
Viva CCM
Viva Tanzania
Unatia aibu ukiwa Mkoa gani? Kuuza Bandari za Tanganyika na kutimua Wamasai na kuwapa Waarabu ndio utendaji mzuri ?
 
Shoqeeeer la CCM hili.... Na mwaka 2025 ni jino kwa jino. Tupo tiali kufa ila sio kuongozwa na wakimbizi wa uarabuni
 
Oops ! Mkuu Pole Sana Sana Malipo Yako Huko Lumumba FC Buku Saba Huenda Yakasitisha Sababu Ulichoandika Wala Siyo Cha Nchi Hii Ya Tanzania
Msome kwanza mleta mada umuelewe kabla hujadandia kujibu
 
Kwa utendaji huu uliotukukuka wa Rais Samia huenda 2026 bunge litakosa Wapinzani labda wapewe upendeleo maalumu

Wadau hamjamboni nyote

Huo ndiyo ukweli na lazima usemwe kuwa Rais Samia amefanya mambo makubwa ambayo yamewashangaza mamilioni ya watanzania

Sina ulazima kuweka ushahidi kwani naamini Kila kitu kipo wazoi

Nashauri ufanyike upendeleo maalumu kwa wenzetu hao kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 vinginevyo msije shangaa bunge la 2026 likakosa Wapinzani kabisa

Viva Rais Samia
Viva CCM
Viva Tanzania
Utendaji uliotukuka???😭 Utakuwa umerogwa wewe, na kama una ubongo kweli basi wewe ni zombie. Huwezi kuleta habar za matapeli hapa kama uko Sawa kichwani
 
Kwa utendaji huu uliotukukuka wa Rais Samia huenda 2026 bunge litakosa Wapinzani labda wapewe upendeleo maalumu

Wadau hamjamboni nyote

Huo ndiyo ukweli na lazima usemwe kuwa Rais Samia amefanya mambo makubwa ambayo yamewashangaza mamilioni ya watanzania

Sina ulazima kuweka ushahidi kwani naamini Kila kitu kipo wazoi

Nashauri ufanyike upendeleo maalumu kwa wenzetu hao kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 vinginevyo msije shangaa bunge la 2026 likakosa Wapinzani kabisa

Viva Rais Samia
Viva CCM
Viva Tanzania
aiseee mbona unasema ukweli mtupu 🤣🤣

na ukweli ulivyo mchungu watu wa mihemko watakupotomoshea matusi hatari 🐒
 
Kwa utendaji huu uliotukukuka wa Rais Samia huenda 2026 bunge litakosa Wapinzani labda wapewe upendeleo maalumu

Wadau hamjamboni nyote

Huo ndiyo ukweli na lazima usemwe kuwa Rais Samia amefanya mambo makubwa ambayo yamewashangaza mamilioni ya watanzania

Sina ulazima kuweka ushahidi kwani naamini Kila kitu kipo wazoi

Nashauri ufanyike upendeleo maalumu kwa wenzetu hao kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 vinginevyo msije shangaa bunge la 2026 likakosa Wapinzani kabisa

Viva Rais Samia
Viva CCM
Viva Tanzania
Juzi kawakimbia wafanyakazi baada ya ahadi za kila mwaka ambazo hajitekerezeki kila mwaka, mwaka huu kaamu kula kona, Kati ya marais wanaopitia wakati mgumu ni Samia Sasahivi,eti juzi kamtuma Kinana kujibu hoja za mashambulizi yanayoelekezwa kwake, baada ya kutoka Yeye mwenyewe kujibu,Samia 2025 awezi toboa za ndani kabisa hata kiti anataka kukiachia hata Kabla ya mda.
 
Una uhakika aliwakimbia wafanyakazi au ni mawazo yako?
 
Kwa utendaji huu uliotukukuka wa Rais Samia huenda 2026 bunge litakosa Wapinzani labda wapewe upendeleo maalumu

Wadau hamjamboni nyote

Huo ndiyo ukweli na lazima usemwe kuwa Rais Samia amefanya mambo mema na makubwa ambayo yamewashangaza mamilioni ya watanzania na raia wengi wa Afrika na duniani kote.

Sina ulazima kuweka ushahidi kwani naamini kila kitu kipo wazi

Nashauri ufanyike upendeleo maalumu kwa wenzetu hao kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 vinginevyo msije shangaa bunge

Wewe haujaona hadi shirikisho la vyama vya wafanyakazi walitangaza kuwa mgeni rasmi wa Mei mosi atakuwa Rais wa Jamuhuri ambaye ni Samia?Mwisho wa siku kala kona kisa Kikokotoo na ahadi hewa kwa wafanyakazi.
Anastahili pongezi kwa kufilsi nchi na kupeleka pesa znz,ndio raisi ambae anawachamba wala rushwa na kuwaambia wale urefu wa kamba
 
Back
Top Bottom