Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Unatia aibu ukiwa Mkoa gani? Kuuza Bandari za Tanganyika na kutimua Wamasai na kuwapa Waarabu ndio utendaji mzuri ?Kwa utendaji huu uliotukukuka wa Rais Samia huenda 2026 bunge litakosa Wapinzani labda wapewe upendeleo maalumu
Wadau hamjamboni nyote
Huo ndiyo ukweli na lazima usemwe kuwa Rais Samia amefanya mambo makubwa ambayo yamewashangaza mamilioni ya watanzania
Sina ulazima kuweka ushahidi kwani naamini Kila kitu kipo wazoi
Nashauri ufanyike upendeleo maalumu kwa wenzetu hao kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 vinginevyo msije shangaa bunge la 2026 likakosa Wapinzani kabisa
Viva Rais Samia
Viva CCM
Viva Tanzania
Msome kwanza mleta mada umuelewe kabla hujadandia kujibuOops ! Mkuu Pole Sana Sana Malipo Yako Huko Lumumba FC Buku Saba Huenda Yakasitisha Sababu Ulichoandika Wala Siyo Cha Nchi Hii Ya Tanzania
Utendaji uliotukuka???😭 Utakuwa umerogwa wewe, na kama una ubongo kweli basi wewe ni zombie. Huwezi kuleta habar za matapeli hapa kama uko Sawa kichwaniKwa utendaji huu uliotukukuka wa Rais Samia huenda 2026 bunge litakosa Wapinzani labda wapewe upendeleo maalumu
Wadau hamjamboni nyote
Huo ndiyo ukweli na lazima usemwe kuwa Rais Samia amefanya mambo makubwa ambayo yamewashangaza mamilioni ya watanzania
Sina ulazima kuweka ushahidi kwani naamini Kila kitu kipo wazoi
Nashauri ufanyike upendeleo maalumu kwa wenzetu hao kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 vinginevyo msije shangaa bunge la 2026 likakosa Wapinzani kabisa
Viva Rais Samia
Viva CCM
Viva Tanzania
aiseee mbona unasema ukweli mtupu 🤣🤣Kwa utendaji huu uliotukukuka wa Rais Samia huenda 2026 bunge litakosa Wapinzani labda wapewe upendeleo maalumu
Wadau hamjamboni nyote
Huo ndiyo ukweli na lazima usemwe kuwa Rais Samia amefanya mambo makubwa ambayo yamewashangaza mamilioni ya watanzania
Sina ulazima kuweka ushahidi kwani naamini Kila kitu kipo wazoi
Nashauri ufanyike upendeleo maalumu kwa wenzetu hao kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 vinginevyo msije shangaa bunge la 2026 likakosa Wapinzani kabisa
Viva Rais Samia
Viva CCM
Viva Tanzania
Juzi kawakimbia wafanyakazi baada ya ahadi za kila mwaka ambazo hajitekerezeki kila mwaka, mwaka huu kaamu kula kona, Kati ya marais wanaopitia wakati mgumu ni Samia Sasahivi,eti juzi kamtuma Kinana kujibu hoja za mashambulizi yanayoelekezwa kwake, baada ya kutoka Yeye mwenyewe kujibu,Samia 2025 awezi toboa za ndani kabisa hata kiti anataka kukiachia hata Kabla ya mda.Kwa utendaji huu uliotukukuka wa Rais Samia huenda 2026 bunge litakosa Wapinzani labda wapewe upendeleo maalumu
Wadau hamjamboni nyote
Huo ndiyo ukweli na lazima usemwe kuwa Rais Samia amefanya mambo makubwa ambayo yamewashangaza mamilioni ya watanzania
Sina ulazima kuweka ushahidi kwani naamini Kila kitu kipo wazoi
Nashauri ufanyike upendeleo maalumu kwa wenzetu hao kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 vinginevyo msije shangaa bunge la 2026 likakosa Wapinzani kabisa
Viva Rais Samia
Viva CCM
Viva Tanzania
Yupo likizoLucas mwashabwa
ParodyYupo likizo
Hakuna bandari iliyouzwaUnatia aibu ukiwa Mkoa gani? Kuuza Bandari za Tanganyika na kutimua Wamasai na kuwapa Waarabu ndio utendaji mzuri ?
Na bado ukatumia muda wako kusoma kisicho cha nchi hiiOops ! Mkuu Pole Sana Sana Malipo Yako Huko Lumumba FC Buku Saba Huenda Yakasitisha Sababu Ulichoandika Wala Siyo Cha Nchi Hii Ya Tanzania
Wewe ulivyosoma umeona ni Samia yupi hasa?Samiah yupi unamwongelea?. Huyu aliuekula Kona may day?. Kama ni huyo ndio unamsifia hustahili kulipwa buku Saba ya Lumumba.
Una uhakika aliwakimbia wafanyakazi au ni mawazo yako?Juzi kawakimbia wafanyakazi baada ya ahadi za kila mwaka ambazo hajitekerezeki kila mwaka, mwaka huu kaamu kula kona, Kati ya marais wanaopitia wakati mgumu ni Samia Sasahivi,eti juzi kamtuma Kinana kujibu hoja za mashambulizi yanayoelekezwa kwake, baada ya kutoka Yeye mwenyewe kujibu,Samia 2025 awezi toboa za ndani kabisa hata kiti anataka kukiachia hata Kabla ya mda.
Wewe haujaona hadi shirikisho la vyama vya wafanyakazi walitangaza kuwa mgeni rasmi wa Mei mosi atakuwa Rais wa Jamuhuri ambaye ni Samia?Mwisho wa siku kala kona kisa Kikokotoo na ahadi hewa kwa wafanyakazi.Una uhakika aliwakimbia wafanyakazi au ni mawazo yako?
Kwa utendaji huu uliotukukuka wa Rais Samia huenda 2026 bunge litakosa Wapinzani labda wapewe upendeleo maalumu
Wadau hamjamboni nyote
Huo ndiyo ukweli na lazima usemwe kuwa Rais Samia amefanya mambo mema na makubwa ambayo yamewashangaza mamilioni ya watanzania na raia wengi wa Afrika na duniani kote.
Sina ulazima kuweka ushahidi kwani naamini kila kitu kipo wazi
Nashauri ufanyike upendeleo maalumu kwa wenzetu hao kuelekea uchaguzi Mkuu 2025 vinginevyo msije shangaa bunge
Anastahili pongezi kwa kufilsi nchi na kupeleka pesa znz,ndio raisi ambae anawachamba wala rushwa na kuwaambia wale urefu wa kambaWewe haujaona hadi shirikisho la vyama vya wafanyakazi walitangaza kuwa mgeni rasmi wa Mei mosi atakuwa Rais wa Jamuhuri ambaye ni Samia?Mwisho wa siku kala kona kisa Kikokotoo na ahadi hewa kwa wafanyakazi.