Kwa Uweledi huu, Upendo huu mkubwa na Malezi haya mema unategemea kweli Wachezaji wa Simba SC ' wasipafomu ' Uwanjani na Kubeba Mataji yote?

Kwa Uweledi huu, Upendo huu mkubwa na Malezi haya mema unategemea kweli Wachezaji wa Simba SC ' wasipafomu ' Uwanjani na Kubeba Mataji yote?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
WACHEZAJI NA BENCHI LA UFUNDI LEO KILA MMOJA AMEPOKEA KIASI CHA TSH 10M ZA BONUS BAADA YA KUTINGA FAINALI YA KOMBE LA FA KIASI HIKO CHA 10M KILA MMOJA NI SAWA NA 380M KWA KIKOSI CHOTE CHA WACHEZAJI 29 BILA KUJALI ULICHEZA AU ULIKUA JUKWAANI.

simbadaily.com

Asante sana ' Big Boss ' Mo Dewji na Uongozi mzima wa Simba SC. GENTAMYCINE nimelifurahia sana hili na Mbarikiwe mno na Timu ifanikiwe.
 
Simba SC chini ya Mo inawapa mashavu sana wachezaji aisee. Inaendeshwa very professionally.

Imagine mchezaji yuko free from stress kiasi kwamba anajua watoto wataenda shule bila shida. Atajenga na kusaidia wazazi nyumbani bila tatizo maana mishindo ya 10M toka msimu umeanza wameshatafuna hela ya kutosha mpaka sasa.

Sasa unashindwaje kupiga tizi la kueleweka katika mazingira hayo? Boss yuko supportive, mty wa publicity nae yuko njema bwana "Haji Manyagha!" Yani Simba raha sana.
 
Yanga kucheza na simba ni bitter sweet pill, wakati wa maandalizi wanalipwa posho na madai yao yote; kwenye mechi wanachapwa kisha wanasahaulika na uongozi...yaani wanapenda kucheza na simba ila pia wanaogopa dozi
 
Yanga pesa yao ya kuifunga simba machi nane ilichukua miezi mpaka ilaleta mtafaruku katika mgao nina hakika mpaka sasa hawakulipwa pesa kamili lakini wachezaji wa simba walionyesha upendo mkubwa kwa kutaka pesa itolewe sawa bila kujali mchezaji kacheza au hajacheza kuna vitu vingi utopolo wanahitaji kukifunza Simba na sio kukimbilia la liga
 
Yanga pesa yao ya kuifunga simbamechi nane ilichukua miezi mpaka ilaleta mtafaruku katika mgao nina hakika mpaka sasa hawakulipwa pesa kamili lakini wachezaji wa simba walionyesha upendo mkubwa kwa kutaka pesa itolewe sawa bila kujali mchezaji kacheza au hajacheza kuna vitu vingi utopolo wanahitaji kukifunza Simba na sio kukimbilia la liga

Jifunze kuandika kwa utulivu, unaweza usieleweke wakati taarifa ilikuwa nzuri.
 
Yanga hata mishahara ya mwezi June hawajalipwa. Inasikitisha sana, uongozi ulitegemea biashara hii ikitoka ndiyo wapate mishahara ya mwezi June, lakini ndiyo dili limebuma na mbuzi mwenyewe amesha kata kamba.( Mkataba wake umeisha )
IMG-20200714-WA0030.jpg

View attachment 1507665
 
Kweli kabisa yanga posho yao ya tarehe 8 ilizua mzozo hadi kutoka kwake tukasikia hadi voice notes za kina molinga simba wachezaji wame insist kila mmoja apewe posho sawa hata kama alikaa jukwaani,hii nzuri sana kwa kweli
 
Yanga wanawapa sana wachezaji stress,imagine kaseke anatoka kwenye zoezi au mechi akipata mda wa kukaa free anaenda kuuza duka lake
Simba SC chini ya Mo inawapa mashavu sana wachezaji aisee. Inaendeshwa very professionally.

Imagine mchezaji yuko free from stress kiasi kwamba anajua watoto wataenda shule bila shida. Atajenga na kusaidia wazazi nyumbani bila tatizo maana mishindo ya 10M toka msimu umeanza wameshatafuna hela ya kutosha mpaka sasa.

Sasa unashindwaje kupiga tizi la kueleweka katika mazingira hayo? Boss yuko supportive, mty wa publicity nae yuko njema bwana "Haji Manyagha!" Yani Simba raha sana.
 
mamayo zenu… nyie endeleeni na huo mchezo wenu wa kuwapulizia sumu tim pinzani, ila mwizi ni 40...mamayo zenu!!
 
Back
Top Bottom