GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yanga pesa yao ya kuifunga simbamechi nane ilichukua miezi mpaka ilaleta mtafaruku katika mgao nina hakika mpaka sasa hawakulipwa pesa kamili lakini wachezaji wa simba walionyesha upendo mkubwa kwa kutaka pesa itolewe sawa bila kujali mchezaji kacheza au hajacheza kuna vitu vingi utopolo wanahitaji kukifunza Simba na sio kukimbilia la liga
Utulivu utaupataje wakati 4g inakuhusuJifunze kuandika kwa utulivu, unaweza usieleweke wakati taarifa ilikuwa nzuri.
Hivi Yanga wanahamia lini Spain???
Simba SC chini ya Mo inawapa mashavu sana wachezaji aisee. Inaendeshwa very professionally.
Imagine mchezaji yuko free from stress kiasi kwamba anajua watoto wataenda shule bila shida. Atajenga na kusaidia wazazi nyumbani bila tatizo maana mishindo ya 10M toka msimu umeanza wameshatafuna hela ya kutosha mpaka sasa.
Sasa unashindwaje kupiga tizi la kueleweka katika mazingira hayo? Boss yuko supportive, mty wa publicity nae yuko njema bwana "Haji Manyagha!" Yani Simba raha sana.
Yanga hata mishahara ya mwezi June hawajalipwa. Inasikitisha sana, uongozi ulitegemea biashara hii ikitoka ndiyo wapate mishahara ya mwezi June, lakini ndiyo dili limebuma na mbuzi mwenyewe amesha kata kamba.( Mkataba wake umeisha )View attachment 1507650
View attachment 1507665