Kwa Uweledi huu, Upendo huu mkubwa na Malezi haya mema unategemea kweli Wachezaji wa Simba SC ' wasipafomu ' Uwanjani na Kubeba Mataji yote?

Mamayo, wasipo puliziaa sumu tuu lazima waukalie Hata kama wanacheza na chalinze fc, mikia mamayo zenu kweli kweli
 
Kuna siku Mzee wa kudele Mono aliongelea hili na alisema Bocco hata alipokua azam alitaka bonus iwe kwa wote but ngoma akawa hapendi na alivyokua flop watu wakamfata unasemaje sasa?
So captain sio mbinafsi pia so hawezi entertain Utopolo
 
Ndio sifa ya kuwa kiongozi unaongoza ndani na nje ya uwanja
 
TUESDAY DECEMBER 25 2018

Simba SC striker, Meddie Kagere celebrates after scoring during the African Champions League encounter against Nkana FC of Zambia. Simba won 3-1 to book space in the groups stage of the tournament. PHOTO | MICHAEL MATEMANGA
"

In Summary
Msimbazi Street players who featured in the encounter and manage to eliminate Nkana FC were each given Sh4 million as bonus while those who did not play were given Sh2 million"
 
[emoji196] [emoji196][emoji196]
 
Lakini kuna huyu Mjukuu wa Kilomoni anayeitwa Erythrocyte anaendesha kampeni kuwa Mo Dewj afukuzwe Simba ikisha Timu apewe Babu yake Kilomoni aidhamini kwa Mihela.
 
Lakini kuna huyu Mjukuu wa Kilomoni anayeitwa Erythrocyte anaendesha kampeni kuwa Mo Dewj afukuzwe Simba ikisha Timu apewe Babu yake Kilomoni aidhamini kwa Mihela.
hukunielewa , sikusema apewe kilomoni , nilitaka MO aweke pesa aliyoahidi , kwa sababu kwa hali hii ya sasa MO Akipata matatizo ndio simba nayo imekwisha
 
hukunielewa , sikusema apewe kilomoni , nilitaka MO aweke pesa aliyoahidi , kwa sababu kwa hali hii ya sasa MO Akipata matatizo ndio simba nayo imekwisha
Watu hawaelewi ndio maana kipindi kile mo analalamika anatumia pesa nyingi kwa mwaka walimuuliza hizo pesa ni zake binafsi au ni sehemu ya pesa alizolipia hisa za simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…