Kwa Uwezo Wa Simba Sasa Hivi Tutegemee Penati Nyingi tu

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Ukiangalia mwenendo wa timu zetu Nbc ligi utaona na kutofautisha nguvu na uwezo tofauti kwa kila timu

Kiukweli Simba wameshuka sana,japo wengi huku mtaani wanajitia hawalioni hilo,ile simba ya akina Mugalu,Luiz miquossone na chama si hii ya leo

Kitakachoendelea sasa kupisha aibu ni mbinu chafu kwa kwenda mbele tutegemee penati nyingi za mipango na redi kadi mfululizo.hili naliongea leo na kila mmoja atalitibitisha....

Nimekaa paleee

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Tupo hapa ndg utaniambia...
Usajili bora unalipa ndg
Ukipanda Aziz ki utavuna aziz ki...na ukipanda Kibu utavuna Kibu..hakuna kuhonga wala nini..its just the quality of players..

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Ajabu ni kwamba unajiona una usajiri bora wakati Champions League umetolewa.
Unayemuona mbovu Champions league umemwacha anapeta
 
Yanga kwa kulia lia,Penalty yenu dhidi ya Geita ilikuaje ?
 
Yanga kuna wakati huwa mna matatizo sana japo nasi tuna yetu.tulizeni akili.
 
Baada ya ushindi wa jana dhidi ya Ihefu Fc, watacheza mechi mfululizo na Namungo, Mbeya City, Polisi Tanzania, KMC, Kagera Sugar, Geita Gold, nk!!

Kweli!!! Kweli!! Katika mechi zote hizi za nyumbani na ugenini hatutagawa point kwa wapinzani kweli!!! Na hapo bado kuna mechi za kimataifa!!
 
Tupo hapa ndg utaniambia...
Usajili bora unalipa ndg
Ukipanda Aziz ki utavuna aziz ki...na ukipanda Kibu utavuna Kibu..hakuna kuhonga wala nini..its just the quality of players..

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Sasa kama Simba ina usajili mbovu kwanini yupo ligi ya mabingwa na yanga kaenda ligi ya washirika?
 

Ndo timu kubwa zilivyo na hata hawalalamiki kama mihogo fc sjui ratiba inabana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…