Kwa uzandiki aliofanya January Makamba kwa Hayati Magufuli hakupaswa kuteuliwa kuwa waziri. Uzandiki dhidi ya Rais ni kosa kubwa sana

Uzandiki gani mkuu? Kutofautiana mawazo na mtu si kosa!!! Tatizo ni watu wanaotaka tufanane mawazo!!!! Haiwezekani!!!!!
 
Inavyoelekea unajiropokea tu, hebu tueleze huo uzandiki wake ni upi? Alisema jambo gani baya kwa jpm? Weka hiyo clip hapa tusikie alichokisema kisha utufafanulie huo uzandiki. Au ndo bado mnataka tuongozwe na mtu aliekwisha kufa? (ni kwa mapenzi ya Mungu na sote tuliobaki tutakufa pia)
 
Magufuli alitamka mwenyewe kuwa amewasamehe ngeleja na january
 
Conspiracy
 
January ni sawa na baba yake tu, ni wanafiki sana na wana mambo ya kichini chini sana. Usikute anamsema hata Mama Samia.
 
Hayo yanaweza kuwa majungu,vipi kama aliyoyasema yalikuwa na ukweli,na njia ya kushauri haikuwepo na njia pekee ikawa hiyo ya kuongea sirini na bado bahati mbaya akadukuliwa?
 
Magufuli uzandiki kaanza yeye mwenyewe, tuanzie hapo kwanza.
 
Adui yako ni rafiki wa mtu mwingine.
#Perception

Na rafiki wa adui yako ni adui yako automaticalĺy bahati mbaya JPM inawezekana wako alio waamini kijumla jumla kumbe ni marafiki wa maadui zake.

Serikali iangalie uwezekano wa da mange kupewa angalau ubalozi wa royal tour. Maana kampokea kwa heshima Mh Rais SSH hapo USA. Watumie vizuri uzoefu wa da mange wa kuijua mitaa ya Marekani kwenye kukuza utalii.
 
Mtu hata wiki hajamaliza ofisini anafikiria kuuza Tanesco .JPM alijitahidi Sana kujaza watu waadilifu Tanesco lakini Sasa wizara imevamiwa.TEGEMEENI KABISA Ufisadi na kesi za kwalipa watu mabilioni zinakuja.hizi thread Ni za kutinza Sana.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Madikiteta wote duniani hua wanaunda maadui wanao wazunguka.
Hivyo dikiteta Mkuu slijiundia maadui yeye mwenyewe ndani ya serikali yake kwani walikua hawafurahi Kwa jinsi alivyokua anadhurumu haki za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…