Kwa Uzembe Huu wa CRB tujiandae na janga la ghorofa kuanguka hapa mjini

sajosojo

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2010
Posts
1,021
Reaction score
636
Leo nilikuwa na route za sehemu mbalimbali hapa down town yaani Dar es Salaam, nimeona majengo mengi yakijengwa chini ya kiwango na mamlaka husika zipo zinawaangalia tu, mfano kuna jengo moja pale Magomeni Mikumi yaani limelala kama kinadondoka na kuna jengo lingine liko kama unaenda Coca-Cola karibu na office za CRB kabisa nalo liko ovyo ovyo...
 
In Inawezekana una ugomvi fulani na huyo mwenye jengo la Migomigo Mikumi,kama si kudaiana pesa.
 
Ila hili ghorofa la hapa biafra upande wa pili kwenye kituo cha kanisani huwa naliangalia sipati picha kwa sababu sio mtaalam.
Ni pana kidogo but ghorofa 14.
 
Na CRDB Headoffice linataka kudondoka au?

Acha ushamba mkuu

Ni design tu ya ujenzi

Na lile Tanhouse barabara ya Morocco linataka kudondoka au?

Acha ushamba ni design tu

Mainjinia wa kike wana design majengo makali sana hapa Dar

Wanaume wanauza sura na kunyoa viduku
 
Ongezea nssf waterfront
 
Ishu sio design mkuu ni poor workmanship ambayo inaonekana katika hayo majengo na hizo bodi za kusimamia zipo vijana wao wanakula rushwa tu...iko siku haya majengo yatasababisha majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…