Baraka Roman
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 692
- 262
Ukienda kula lunch on date na girl badae mkapumzike kwenye nyumba zetu zileeee, ukaagiza chips yai na soda then akakutext "ungeagiza ugali nyama choma, ushushie na maji ingekua poa sana my boy"
Kwa UZOEFU wako unapata picha gani?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mkuu hako ka signature chini unaka setije.
Sent from..........
Dah... Yamekukuta nn arif?
Dah... Yamekukuta nn arif?