Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,517
- 3,316
Hii naona ndo ina nguvu sana kuliko ya kushoto. Ya kulia sijatumia ila kuna mtu naye analalamika kuwa haina nguvu sana. Hii ya kati nliyozungushia ina speed nzuri kulingana na bundle yako. Wakati ya kushoto nilikuwa natumia pamoja na bundle ya 20Mbps ila ilikuwa inasua sua sana. Ikabidi ninunue hiyo ya kati baada ya kujaribisha. Kitu mnato. Ukigusa tu wazungu hawa. Inshallah allah awape maisha marefu wagundu wa mtandao