Kwa video hii, a boy from Tandale lazima ifungiwe

Sambusa kavu

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2015
Posts
806
Reaction score
1,296
Huyu bwana mdogo kwanza namuelewa saaana na namkubali mnoo kwa uchapaji wake wa kazi...

Kila mtu anajua sas hivi yupo busy na kuitambulisha album yake mpya ya A boy from Tandale...

Leo nimepita youtube nikakutana na uchafu wa ajbu saana katika moja ya wimbo wake ambao utakuwepo kwenye iyo albamu.

Huu wimbo kamshirikisha Omarion unaitwa African beauty....Sijui dogo kawaza nini ila kiukweli huu wimbo video yake haitchezwa kokote pale na ikitoka tuu lazima wamtie ndaniii....

Video madada matiti yoote nje nje...yaaan naked kabisaaa...daaah,that is tooooo much aiseeeee

Nyimbo za namna hii tumezoea kuziona kwa wakina Snoopy,Nelly na wengineo wanaofanyaga dirty version...domo kaiga....Yaaan huu wimbo dogo ajue tu ban inamuhusu...ebu cheki hii screenshot hapo chini..


Video kamili hii hapa
 
ukifungwa ukuu tz kwetu tunaupiga kama kawa ,,,,,nyimbo za namna hii zinakubalika sana uku kwetuuu
 


Kwenye official video hakuna nudity wala nini. Mlidandia train kwa mbele
 


Kwenye official video hakuna nudity wala nini. Mlidandia train kwa mbele
Namkubali DP kupita Maelezo,ila kwa huu UOZO alioweka katika hii video wala siwezi kumsapoti,hii video ifungiwe tu..!
Ila Audio iko safi,nimependa kipande ambacho Omarion ameimba Kiswahili..!
 
Namkubali DP kupita Maelezo,ila kwa huu UOZO alioweka katika hii video wala siwezi kumsapoti,hii video ifungiwe tu..!
Ila Audio iko safi,nimependa kipande ambacho Omarion ameimba Kiswahili..!
Umeangalia official video? Umeona matiti kwenye official video? Nitumie screenshot ya matiti kwenye official video badala ya hiyo preview uliyoweka awali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…