Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awe anaandika sasa specifications kuwa hii ni ya wabongo na hii kwa ajiri ya watu wa mataifa mengne ya nje (abroad)Hiyo ngoma hajashuti kwaajiri ya wabongo so endelea kukomaa na Saida Karoli
Kwa hiyo na wewe unasapoti huwo ujinga wa izo video?Maoni binafdi ruksa ila kuna vitu unakosa husisani vinavyohusu muziki wa kimataifa unapofanywa na wasanii wa kimataifa.
Haya mambo mtayazoea tu kwani hamkuwahi kuwa na msanii wa level hizi hapo awali.
Na hata hao basata itafika mahali wataelewa msingi wa jambo hili na mwisho watajua kipi cha kufungia na kipi cha kuacha.
Umeelewa nilichoandika?Kwa hiyo na ww unasapoti huwo ujinga wa izo video?
Nimeelewa ndo maana nikakuuliza hilo swali.Umeelewa nilichoandika?
Nipe tafsiri ya ujinga kijana?Kwa hiyo na ww unasapoti huwo ujinga wa izo video?
Asante sana kifimbocheza kwa maoni yako haya muhimu kabisa management ya WCB itayafanyia kazi maoni yako,kwasababu ni muhimu sana kwa maendeleo ya msanii wetu..Nimeusikiliza kwa umakini wimbo mpya wa diamond aliomshirikisha omarion, ukwel ni wimbo mzuri sana melody and beats ziko poa sana. Sema sasa yule video queen aliyeachia matiti na mat**ko nje kaiharibu sana iyo video na naona BASATA hawatauacha salama.
Diamond ifike kipindi abadilike huwezi shindana na mkono wa serikali, mwisho wa siku watakufungia kama roma.
Jitathimin upya video izo huwezi anagalia na mzazi akiwa pembeni. Hata leo nikisiki mh shozya kaufungia huwo wimbo sitoshangaa maana maadili hauna kabisa video gani matiti nje nje plus matako kama wacheza x bhana. Video za hivyo waachie kina lil wayne.
Angalia live perfomance ndo ujue serikali yenu imezidiwa nguvu na huyu kijana ameperfomance ngoma zote zilizofungiwa, this time ameweka hadi kitanda stage ili aoneshe ufundi zaidi.
Nyimbo zenu za kibongo mbona zinajulikana tu kasilikile sikomi uko ndio kwajili yunu hizi nyingine tuachieni wenyeweAwe anaandika sasa specifications kuwa hii ni ya wabongo na hii kwa ajiri ya watu wa maita mengne ya nje (abroad)
Huu wimbo uko na pande mbili,Nimeelewa ndo maana nikakuuliza hilo swali.
Na ww pia mkuu.Asante sana kifimbocheza kwa maoni yako haya muhimu kabisa..!
Management ya WCB itayafanyia kazi maoni yako,kwasababu ni muhimu sana kwa maendeleo ya msanii wetu..!
Ubarikiwe..!!!
Ngoja ufungiwe utakuwa unauangalia peke yako tu chumbani na kwenye simu yako.wimbo mkali sana na kilicho nifnya niupende zaid ni yale matraaaaaqo ya yule manzi
Kuna ubaya wowote?Ngoja ufungiwe utakuwa unauangalia peke yako tu chumban na kwenye simu yako.
Kama anataka ivo ahamie uko kwa wavaa uchi, hizo siyo tamaduni zetu.Kwahisani ya mamtoni kipi kigeni hamkijui mwacheni mtandale avuke mataifa wivu tu mbona beach mnaanika nyeti kipi kigeni historia imejirudia nguo zililetwa na mkoloni africa yetu magome na uchi