Kwa video hii, a boy from Tandale lazima ifungiwe

Maoni binafsi ruksa ila kuna vitu unakosa husisani vinavyohusu muziki wa kimataifa unapofanywa na wasanii wa kimataifa.

Haya mambo mtayazoea tu kwani hamkuwahi kuwa na msanii wa level hizi hapo awali.
Na hata hao basata itafika mahali wataelewa msingi wa jambo hili na mwisho watajua kipi cha kufungia na kipi cha kuacha.
 
Kwa hiyo na wewe unasapoti huwo ujinga wa izo video?
 
Asante sana kifimbocheza kwa maoni yako haya muhimu kabisa management ya WCB itayafanyia kazi maoni yako,kwasababu ni muhimu sana kwa maendeleo ya msanii wetu..
Ubarikiwe..!!!
 
Nimeelewa ndo maana nikakuuliza hilo swali.
Huu wimbo uko na pande mbili,
Upande wa Omarion (dunia ya kwanza)
na upande wa Diamond(dunia ya tatu)
Kwa mantiki hiyo wimbo wa combination ya watu hawa ni lazima tu iwahusishe zaidi wale wa dunia ya kwanza kwani ndilo lengo la kila msanii wa dunia ya tatu.

Kwa kifupi ni kuwa bidhaa hii walengwa ni wananchi wa dunia ya kwanza ila kwakuwa na sisi wa dunia ya tatu hatujakatazwa ndomana umetufikia japo si aina ya mziki tunaoupenda ndomaana tunataka ufungiwe hapa kwetu ili ubaki huko alikolenga yeye.
 
Kwahisani ya mamtoni kipi kigeni hamkijui mwacheni mtandale avuke mataifa wivu tu mbona beach mnaanika nyeti kipi kigeni historia imejirudia nguo zililetwa na mkoloni africa yetu magome na uchi
 
Kwahisani ya mamtoni kipi kigeni hamkijui mwacheni mtandale avuke mataifa wivu tu mbona beach mnaanika nyeti kipi kigeni historia imejirudia nguo zililetwa na mkoloni africa yetu magome na uchi
Kama anataka ivo ahamie uko kwa wavaa uchi, hizo siyo tamaduni zetu.
Maadali yazingatiwe.
 
Hii bonge moja La videoooo!! Serikali isiwe wanafiki kama wanaona maadili ni muhimu wafungie video zote za njee zisicheze bongo,wafungie website zote za porno kama uarabuni wanavyo fanya serikali haishindiwi ila isitegeshee wimbo wa mtu ndio waufungie
 
Video kama hizi toka nje zinapigwa hapa bongo ila watanzania tumejaa roho mbaya pale mwenzetu anapofanikiwa tunajua tu kukosoa......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…